Nasema
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 556
- 345
- Thread starter
- #221
( amuwekee ikiwa ya moto)
hao wadudu wakishatoka, ujue ndiyo pona yake huyo, na atakuwa na kidonda ambacho kitamchukua muda kupona, mpk anapona hicho kidonda , anakuwa huo mchezo basi keshaacha, na ule muwasho unakuwa hakuna tena.
Hii inaelekea kuwa ni dawa ya asili na pengine bora zaidi; ila sasa tiba ya hicho kidonda inakuwaje maana umesema itachukua muda kupona!