Mara nyingi mwanaume asio na mvuto kwa mwanamke husika ndio hufanyiwa hivi. Mfano kwa mwanamke anayependa watu wenye hela ukimfata kapuku ataishia kukuzungusha na kukukwepa ilimradi tu ukate tamaa umuache, ila mwenye kumwaga hela anapapatikiwa mda wote demu anajibebisha tu na kutoa mzigo uliwe bila masharti wala usumbufu.
Mwanamke anayependa mwanaume mmbabe babe hivi atakuwa analiwa na wahuni na washkaji wajanja kirahisi sana ila mwanaume decent na mpole ataishia kunyonywa tu na kupukutishwa hela na kuishia kupewa mabusu ya gradueshen tu shavuni ila papuchi ataisikia tu kwenye vyombo vya habari.