Binti kukunyima mechi si kigezo cha kuwa ni mpole na siyo mhuni, wanawake anaweza kuwa na wanaume 2 mpaka zaidi , Mmoja anaweza kuwa anapewa show ya kibabe hlf, wewe unaambiwa hakuna mpaka ndoa kumbe hakuna chochote.Ingekuwa unatafuta mke ningekuambia shikilia hapohapo lakini kumbe unataka kumchezea mtoto wa watu bure hiyo haikubaliki hata kidogo.
Nyie ndiye mnaoshiriki kusababisha single mothers kisha mnawatoa maana humu!
Huyo binti nampongeza sana kama ataendelea hivyo hadi atakapoolewa!
Utashikilia pembe sana usipojiongeza.Wakuu habari za ijumaa hii njema, mu wazima wote natumaini.
Nina mpenzi ambae nipo nae muda mrefu sana kwenye mahusiano, kwa sasa mimi nimechoka kuvumilia ahadi za uongo kama mwanaume ,tumekaa nae bila hata tendo la ndoa, maana amekuwa akikwepa nikimwambia kuhusu swala la kufanya mapenzi,wakati yeye akitaka vitu vyangu nimpe.
Kuna kipindi alinitamkia tuachane eti kisa mi simjali na baada yakuwa namsumbua kuhusu kunipa papuchi,na akanambia nikatafute wakufanya nae mapenzi ila si yeye.
Mwanaume nikamwambia isiwe noma kila mtu aendelee na life lake lakini baada ya siku kadhaa katuma mtu kwa ajili ya kuomba msamaha nimsamehe kwa yale maneno aliyotamka.
Kwa ufupi tu mpaka sasa sioni mwelekeo wowote kuhusiana na mapenzi yetu imekuwa mwendo wa kupigana tarehe tu.
Simwelewi au kuna jamaa linajilia mdogomdogo halafu mi nimekuwa wa kupangwa.
Nataka kutoa maamzi mbele yake kabisa ajue kuwa mi nijembe japo sijaona lango la mpinzani wangu.
Kama nikumvumilia nimefanya mi mwenzenu ndoto nyevu zinanitesa kila mara kuchafua pensi.
Ushauri wenu mabahari na wakuu wote kijana wenu nisije kuwa napoteza muda kumbe tunda wanavuna wahuni ambao hata hawana muda nae.
Bin Shaib Classic 2020.
Binti kukunyima mechi si kigezo cha kuwa ni mpole na siyo mhuni, wanawake anaweza kuwa na wanaume 2 mpaka zaidi , Mmoja anaweza kuwa anapewa show ya kibabe hlf, wewe unaambiwa hakuna mpaka ndoa kumbe hakuna chochote.
Wewe mwenyewe hujajiongeza tu hao watu wadogo wanahitaji maarifa siyo kama magumegume mkuuKweli.
Kasha nizingua kinoma Yaani.
Kwanini unadhani ni wendawazimu?siwezi kukaa na demu mwezi sijamla,utakuwa ni uwendawazimu
Aachana naye mkuu..demu mwenyewe unakuta hata sio bikra
Hahaaa naona kitufe cha ban now days mods wamekigeuza kuwa peremendeHahahaha mtu anakubania miprotini imekuja mpaka kichwani hadi ubongo umefeli. Ni sawa tu tukionekana hatujielewi.
Deo Kisandu alitaka serikali iingilie kati imsaidie kut0mba
Hahaa imagine !!!Movie wanacheza wengine
Jr![]()
Umeona mkuu !!Na asipotoa majitaji haipati hiyo papuchi
ikiwa utaongea zaidi kuliko kusikiliza ..Utajinyima fursa nyingi za kujilimbikizia maarifa
Nimependa haya maneno,ngoja niyaibe.
Hiyo ni code siyo live kama Kisandu alivyopresentHahaaa naona kitufe cha ban now days mods wamekigeuza kuwa peremende
Huyu tunamuita mpenzi muhongaji/mchunwajiUmegeuzwa kuwa mpenzi mtazamaji
NakaziaHuyu tunamuita mpenzi muhongaji/mchunwaji
Gundi zikizidi huwa zina tabia ya kuathiri mfumo wa ubongo. Unaweza kufanya vioja kumbe ni ugwadu tu unazingua mifumo🤣🤣🤣Hahahaha mtu anakubania miprotini imekuja mpaka kichwani hadi ubongo umefeli. Ni sawa tu tukionekana hatujielewi.
Deo Kisandu alitaka serikali iingilie kati imsaidie kut0mba