Hataki kunipa 'Mzigo' nataka nimuache

Bin Shaib

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
807
1,000
Haya mambo ya taste yamekuja baada ya kuonja onja.
Mtu akijitunza vizuri wala hawezi kuwa na mambo hayo ya kuchagua radha .
Mwanamke ataijua radha ya mumewe tu na mwanaume hivyohivyo.
Huoni kama hii inapendeza??

Kwanini umuingilie mtu na uje kumuacha?
Huoni kama unamuumiza Zaidi?
Na yeye akiniacha kabla hata hatujaingia "ndoani"?
Na amesha kula vyangu?
 

Saint Anne

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
20,237
2,000
Mpaka sasa nipo nazisaka na nipo karibu kumiliki geto la kupanga niinjoy life ,swali kwako kwanini huwa mnapenda kutuuliza kazi zetu kabla hata hatujaingia kwenye mahusiano??
Ili tujue Kama una uwezo wa kutunza familia au hauna.
Kujua kazi ni muhimu,je kama unafanya ujambazi je?na Mimi sitaki mtu jambazi.

Mwanamke mwenye akili lazima achunguze uwezo wa mwanaume Wake kuimudu familia..huu uwezo unajumlisha mambo mengi na si kazi pekee,,,

Pambana mdogo wangu kutafuta maisha
Tendo la ndoa utalikuta ndoani.
 

Bin Shaib

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
807
1,000
Wanawake washenzi sana, huyo anaepewa papa ukute hata sio mjanja, kwamfano utakuta wewe ni mwanaume kijana handsome, smart una gari yako na nyumba, lakini ukitongoza unazungushwa, papuchi anaenda kupewa mwanaume hohe hahe asie na mbele wala nyuma kama vile muuza genge, mbeba zege, fundi bomba/fundi redio, msukuma mkokoteni au kibabu kilichostaafu Extrovert

Ipo hivo mkuu.
 

Bin Shaib

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
807
1,000
Ili tujue Kama una uwezo wa kutunza familia au hauna.
Kujua kazi ni muhimu,je kama unafanya ujambazi je?na Mimi sitaki mtu jambazi.

Mwanamke mwenye akili lazima achunguze uwezo wa mwanaume Wake kuimudu familia..huu uwezo unajumlisha mambo mengi na si kazi pekee,,,

Pambana mdogo wangu kutafuta maisha
Tendo la ndoa utalikuta ndoani.
Mhhh Dada angu we ni fire.,,
Umeolewa?
Nakama hujaolewa kuna mambo yaliwahi kukutokea ee?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom