Hataki kunipa 'Mzigo' nataka nimuache

Hataki kunipa 'Mzigo' nataka nimuache

Wakuu habari za ijumaa hii njema, mu wazima wote natumaini.

Nina mpenzi ambae nipo nae muda mrefu sana kwenye mahusiano, kwa sasa mimi nimechoka kuvumilia ahadi za uongo kama mwanaume ,tumekaa nae bila hata tendo la ndoa, maana amekuwa akikwepa nikimwambia kuhusu swala la kufanya mapenzi,wakati yeye akitaka vitu vyangu nimpe.

Kuna kipindi alinitamkia tuachane eti kisa mi simjali na baada yakuwa namsumbua kuhusu kunipa papuchi,na akanambia nikatafute wakufanya nae mapenzi ila si yeye.

Mwanaume nikamwambia isiwe noma kila mtu aendelee na life lake lakini baada ya siku kadhaa katuma mtu kwa ajili ya kuomba msamaha nimsamehe kwa yale maneno aliyotamka.

Kwa ufupi tu mpaka sasa sioni mwelekeo wowote kuhusiana na mapenzi yetu imekuwa mwendo wa kupigana tarehe tu.
Simwelewi au kuna jamaa linajilia mdogomdogo halafu mi nimekuwa wa kupangwa.

Nataka kutoa maamzi mbele yake kabisa ajue kuwa mi nijembe japo sijaona lango la mpinzani wangu.

Kama nikumvumilia nimefanya mi mwenzenu ndoto nyevu zinanitesa kila mara kuchafua pensi.

Ushauri wenu mabahari na wakuu wote kijana wenu nisije kuwa napoteza muda kumbe tunda wanavuna wahuni ambao hata hawana muda nae.

Bin Shaib Classic 2020.
Hivi hao mademu wa kunyima papuchi bado wapo? Pole sana inaonekana hajakukubali hata kidogo piga chini tafuta mwingine!!
 
Ingekuwa unatafuta mke ningekuambia shikilia hapohapo lakini kumbe unataka kumchezea mtoto wa watu bure hiyo haikubaliki hata kidogo.
Nyie ndiye mnaoshiriki kusababisha single mothers kisha mnawatoa maana humu!

Huyo binti nampongeza sana kama ataendelea hivyo hadi atakapoolewa!
 
Wakuu habari za ijumaa hii njema, mu wazima wote natumaini.

Nina mpenzi ambae nipo nae muda mrefu sana kwenye mahusiano, kwa sasa mimi nimechoka kuvumilia ahadi za uongo kama mwanaume ,tumekaa nae bila hata tendo la ndoa, maana amekuwa akikwepa nikimwambia kuhusu swala la kufanya mapenzi,wakati yeye akitaka vitu vyangu nimpe.

Kuna kipindi alinitamkia tuachane eti kisa mi simjali na baada yakuwa namsumbua kuhusu kunipa papuchi,na akanambia nikatafute wakufanya nae mapenzi ila si yeye.

Mwanaume nikamwambia isiwe noma kila mtu aendelee na life lake lakini baada ya siku kadhaa katuma mtu kwa ajili ya kuomba msamaha nimsamehe kwa yale maneno aliyotamka.

Kwa ufupi tu mpaka sasa sioni mwelekeo wowote kuhusiana na mapenzi yetu imekuwa mwendo wa kupigana tarehe tu.
Simwelewi au kuna jamaa linajilia mdogomdogo halafu mi nimekuwa wa kupangwa.

Nataka kutoa maamzi mbele yake kabisa ajue kuwa mi nijembe japo sijaona lango la mpinzani wangu.

Kama nikumvumilia nimefanya mi mwenzenu ndoto nyevu zinanitesa kila mara kuchafua pensi.

Ushauri wenu mabahari na wakuu wote kijana wenu nisije kuwa napoteza muda kumbe tunda wanavuna wahuni ambao hata hawana muda nae.

Bin Shaib Classic 2020.
Njoo DM nikupee mbinu zetu mabaharia.. Hapa anaweza akasoma
 
Ingekuwa unatafuta mke ningekuambia shikilia hapohapo lakini kumbe unataka kumchezea mtoto wa watu bure hiyo haikubaliki hata kidogo.
Nyie ndiye mnaoshiriki kusababisha single mothers kisha mnawatoa maana humu!

Huyo binti nampongeza sana kama ataendelea hivyo hadi atakapoolewa!
Muoaji ni mimi mwenyewe ikiwezekana.
 
wivu tu unakusumbua mkuu, wanawake wapo tofauti unaweza kuta ana hofu nyingi tu hebu jaribu kuongea naye taratibu .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom