Hataki kunipa 'Mzigo' nataka nimuache

Hataki kunipa 'Mzigo' nataka nimuache

Mhhh kweli?
Siamini.
Cheka tu mkuu ... Huku ndio kupatwa kwa jf .. Tunaomba mungu shule zifunguliwe wadogo zetu warejee masomoni kwa kiasi kikubwa itachangia kupotea kwa nyuzi za aina hii
Kijana acha swaga mapenzi ni kitu kingine wewe, na ndo kitu kinachowasumbua watu duniani na vifo kwa wingi kisa mapenzi.
 
Mkuu tunda halidaiwi ivo kwa maneno, mpe kama milion ya vocha tu alaf uangalie km hatokuja gheto mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom