gen parton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 642
- 411
hivi mirembe bording kujaa hadi wanawaachia hawa mirembe day wanatusumbua......................!jf ni unique
hivi mirembe bording kujaa hadi wanawaachia hawa mirembe day wanatusumbua......................!jf ni unique
imebidi nicheke tu...halafu acha uchoyo wa like we umepokea 589 umetoa 2 acha wivu na uchoyoNajua wengi watabisha sana tu lakini wanaume nao huingia period
Period ya wanaume ni kuishiwa ambapo huambata na stress na hasira za kijinga
Hata Hapa kuna wachangiaji watakuja wakiwa period , utawafahamu tu kwa michango yao
Ukiona mwanaume anakwambia yupo period ujue kaishiwa
hizo mbili umefanyeje?Natamani mno kutoa Like lakini sijui nafanyeje. Please assist
subiri ukiwa period utajua matumizi yake!
Ukiwa period utajua! Mwee!!!
Na December hii kuelekea Jan wengi wataingia period.
imebidi nicheke tu...halafu acha uchoyo wa like we umepokea 589 umetoa 2 acha wivu na uchoyo
i miss youyupo period!!!
You took it too scientifically which is perfectly right..!
I took it psycologically..!