Hata wanaume huingia period

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,704
Najua wengi watabisha sana tu lakini wanaume nao huingia period

Period ya wanaume ni kuishiwa ambapo huambata na stress na hasira za kijinga

Hata Hapa kuna wachangiaji watakuja wakiwa period, utawafahamu tu kwa michango yao

Ukiona mwanaume anakwambia yupo period ujue kaishiwa
 
Menstrual cycle is the cycle of changes that occurs in the uterus and ovary for the purpose of

sexual reproduction.

It is essential for the production of eggs and for the preparation of the uterus for

pregnancy.The menstrual cycle occurs only in fertile female humans and other female primates.

In humans
(labda hapa ndio umemaanisha na mwanaume?, you are totally wrong!), the length

of a menstrual cycle varies greatly among women (ranging from 25 to 35 days), with 28 days

designated as the average length. Each cycle can be divided into three phases based on events in

the ovary (ovarian cycle) or in the uterus (uterine cycle).The ovarian cycle consists of the

follicular phase, ovulation and luteal phase whereas the uterine cycle is divided into

menstruation, proliferative phase, and secretory phase. Both cycles are controlled by the

endocrine system and the normal hormonal changes that occur can be interfered with using

hormonal contraception to prevent reproduction.

Sasa hebu uelezee uma, hapa mwanaume anaingia vipi? Kama ni hasira, hata mbwa wanazo bwana!
 
You took it too scientifically which is perfectly right..!
 
kwahiyo akiishiwa anatokwa damu, nimeipenda hiyo ha ha ha haaaa!!!!!!!!!!!!
 
Hzi sired nyingne hizii mmmh! Ngoja wanaume wenzio waje! Kaizer nawewe upo period? Hahaha! Dah! Acha nicheke kwa kweli!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: JLB
Najua wengi watabisha sana tu lakini wanaume nao huingia period

Period ya wanaume ni kuishiwa ambapo huambata na stress na hasira za kijinga

Hata Hapa kuna wachangiaji watakuja wakiwa period , utawafahamu tu kwa michango yao

Ukiona mwanaume anakwambia yupo period ujue kaishiwa

hahahahaaaaaa mshana jr wew thread zako mimi hoi kumbe na nyie huwa mnaingia period kwan namna ya tofauti hahahaaaaa asubuh hii nimeinjoi sana humu ndan hasa pale niliposoma ile ya kuishia mapajan mamaaaaaa ndio umeniacha hoi duuuu thanx for making my day good good good
 
Hata mimi mbona leo niko period sitaki kuguswa na mtu anayeitwa mwanamke
 
Najua wengi watabisha sana tu lakini wanaume nao huingia period

Period ya wanaume ni kuishiwa ambapo huambata na stress na hasira za kijinga

Hata Hapa kuna wachangiaji watakuja wakiwa period , utawafahamu tu kwa michango yao

Ukiona mwanaume anakwambia yupo period ujue kaishiwa

soon tu utafata si bure kwa maeazo haya..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom