neurosurgeon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 376
- 355
Najua wengi watabisha sana tu lakini wanaume nao huingia period
Period ya wanaume ni kuishiwa ambapo huambata na stress na hasira za kijinga
Hata Hapa kuna wachangiaji watakuja wakiwa period , utawafahamu tu kwa michango yao
Ukiona mwanaume anakwambia yupo period ujue kaishiwa
The analogy you have used to compare menstruation period in Man is totally wrong in short you have committed fallacy of irrelevantNajua wengi watabisha sana tu lakini wanaume nao huingia period