Hata wanaume huingia period

Hata wanaume huingia period

mshana jr unataka wanaume tukukate shingo wewe si bure! Wanaume wanaingia mwezini? Kudadadeki.
 
Last edited by a moderator:
IMG-20180531-WA0162.jpg
 
Najua wengi watabisha sana tu lakini wanaume nao huingia period

Period ya wanaume ni kuishiwa ambapo huambata na stress na hasira za kijinga

Hata Hapa kuna wachangiaji watakuja wakiwa period , utawafahamu tu kwa michango yao

Ukiona mwanaume anakwambia yupo period ujue kaishiwa
Now you have really crossed the borders!
 
Najua wengi watabisha sana tu lakini wanaume nao huingia period

Period ya wanaume ni kuishiwa ambapo huambata na stress na hasira za kijinga

Hata Hapa kuna wachangiaji watakuja wakiwa period , utawafahamu tu kwa michango yao

Ukiona mwanaume anakwambia yupo period ujue kaishiwa

toka mwaka 2013 ulipoamua kutudhalilisha wanaume, ulishaomba msamaha ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom