Hata wanaume huingia period

Nakumbuka kipindi kile cha magazeti ya JITAMBUE waliwahi kuandika hii mada(wanaume kuingia period). Sema sikuwa mtunzaji mzuri wa lile gazeti.
 
Najua wengi watabisha sana tu lakini wanaume nao huingia period

Period ya wanaume ni kuishiwa ambapo huambata na stress na hasira za kijinga

Hata Hapa kuna wachangiaji watakuja wakiwa period , utawafahamu tu kwa michango yao

Ukiona mwanaume anakwambia yupo period ujue kaishiwa


hahahahahahahaha!!!!!! Nimekaribia kuingia period kama maana yako ni kuishiwa (Financially)
 
Hii habari kuna pahali nilishawahi isoma inawezekana ni kweli maanake siwa elewagi me sometime
ukiona kaamka na gumu ujue yupo period
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom