Yuko period ndo maana hatoi likesimebidi nicheke tu...halafu acha uchoyo wa like we umepokea 589 umetoa 2 acha wivu na uchoyo
Jipe moyohehehee!!! financial issues!!
hili boom la pili naomba niweke strings juu!
no woman...!
​duuuh!!hata mm niko period!!
​mwenzio ndio nimeanza leo cha kwanza!!cha ngapi leo mimi leo cha tano hata haikatiki msaada jamani
Jipe moyo
ha ha ha duniani kuna mamboYuko period ndo maana hatoi likes
unatumia mobile.....huingii full site??.........post quote unazionaje...................Kweeli kabisa sijui ilikuwaje natumia Jf mobile ambapo mara nyingi ni ngumu kuingia full site maandishi yanakuwa madogo mno
shwari tu naangalia wanaume wanaoingia period ulipotelea wapi? mda sijakuona pande hizi
you cant be serious!!!!!!Mpaka nivae miwani..!
We sema ulikuwa period...kuna masuala yamenibana tu, naingia humu kwa kutega sana
moyo ninao mwingi tu!
Hizi period za december huwa ni mbaya sana!
Unaanza mwaka na presha juu!
Basi jipe figo
unatumia mobile.....huingii full site??.........post quote unazionaje...................
sasa pad zetu zitakuwaje , au kama DODOKI lile la mtikwahiyo akiishiwa anatokwa damu, nimeipenda hiyo ha ha ha haaaa!!!!!!!!!!!!
nimemnasa kwenye kona......amekimbia mwenyewe hi hi hinimelipenda hili swali!
mimi natumiaga nokia phillips, hazionyeshagi kabisa pq. au kwa vile mche wa mwichi?