hahahahaha mie napita tu
Na ulivokuwa mshamba hukujua nlikuagiza condom kwa kuwa tarehe zako zilikuwa za hatari na mie kulea watoto umri huu siwezi
Ebu kaa kidogo kwanza....
Wanaume mmekimbia? Njooni huku mumpe majibu mwenzenu! Ama mpo period?? Hahahaha! Dah! Hii mada leo imenichekesha kwakweli! mwekundu Himidini Mashaxizo mzabzab Simplicity mpo period?? Kazi kwenu!
Umeniita???
hivi hii sabuni Komesha ipo bado,hahahaaaaaHili jukwaa komesha!!
Mi siwezi kutamka kwa Wanaume wenzangu kwamba eti nipo period. Naanzaje?
mmmh huo ukweli wake una shaka, nipo bestie, miss you alot, niambie
Na ulivokuwa mshamba hukujua nlikuagiza condom kwa kuwa tarehe zako zilikuwa za hatari na mie kulea watoto umri huu siwezi
Jf ni unique
Natumia nepi...za vitambaa zile!2kuletee pampaz??
Sasa unataka uje kutega...ntachafua nepi!!!kaka kweli? hata mimi dada yako hutaki nikutafute?
akishindwa asaidiwe na pachaake klorokwini......mzima shosti
Ngoja kwanza ni jitathmini hapa pembeni...