Hata wanaume huingia period

Nikikuchit wewe hakika Zanzibar itahamiaZimbabwe, hiyo ya akina Munisi itumie kuwafyatua vizabizabina wa mapenzi yetu

Nimehamishiwa Sudan ya Kusini. Nimefanikiwa kumiliki ile bidha ya Mushi na Munisi. Ole wako unicheat, mie mtaalam wa shabaha

Mc ya 2 bby....
 
darasa limetosha kwa leo
 
Hzi sired nyingne hizii mmmh! Ngoja wanaume wenzio waje! Kaizer nawewe upo period? Hahaha! Dah! Acha nicheke kwa kweli!!
Munkari, kuna mtu kanitaja ki ivyo maana pisto yangu ipo tayari tayari
 
Last edited by a moderator:
Duh....!! Hii imekuwa thread yangu ya kufungia siku, ngoja ni-log off...

 
Nikikuchit wewe hakika Zanzibar itahamiaZimbabwe, hiyo ya akina Munisi itumie kuwafyatua vizabizabina wa mapenzi yetu

Thats my girl... Haya nitajie japo watatu wanaokusumbua PM nianze kuwatolea mfano.
 

Ha! ha! ha! Umenichekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…