Hata wanaume huingia period

Hata wanaume huingia period

Najua wengi watabisha sana tu lakini wanaume nao huingia period

Period ya wanaume ni kuishiwa ambapo huambata na stress na hasira za kijinga

Hata Hapa kuna wachangiaji watakuja wakiwa period , utawafahamu tu kwa michango yao

Ukiona mwanaume anakwambia yupo period ujue kaishiwa

wengi watakuwa period mwezi huu hadi Feb
 
Najua wengi watabisha sana tu lakini wanaume nao huingia period

Period ya wanaume ni kuishiwa ambapo huambata na stress na hasira za kijinga

Hata Hapa kuna wachangiaji watakuja wakiwa period , utawafahamu tu kwa michango yao

Ukiona mwanaume anakwambia yupo period ujue kaishiwa

huwa unavaa pad?
 
Aisee! eheee! mshana jr huwa unatumia zana gani ukiwa period? nijuze bana nifungue kagenge ka bidhaa za wanaume walio periodi.
 
Last edited by a moderator:
Wale ambao kila leo hawana hela na wanahasira hiyo "period" yao siipatii picha. Hahaha
 
Hata mimi mbona leo niko period sitaki kuguswa na mtu anayeitwa mwanamke

avatar63949_4.gif

Da!!!?? No comments.
 
Hili jambo ni kweli kabisa kuna baba yangu mdogo aliwahi kuingia majini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom