Hata umpe nini mwanamme haridhiki??

Mmh mimi ndo sisemi tu hapo yaan cna hamu na hao binadamu waitwao wanaume... Hata umbebe mgongon asubuh na mchana atamuona mfupi atataka atest radha yake....wanakatisha tamaa hawa viumbe
 
huo msemo umebeba mambo mengi sana............kwa wanawake wataelewa what I mean

Hakuna cha maana hapa,hakukuwa na ulazima wa kukomenti majibu ambayo wengine inabidi tuanze kuuliza ulimaanisha nini?Kuna huna michango ya mana na ya kueleweka thread zingine hupaswi kukomenti vinginevyo komenti kama hii hazina maana yoyote.
 
Actually we do not cheat, we are playing our part. Mwanaume hajawahi kuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja. Kuanzi binadamu na wanyama wengine. Kama bado wanabisha waambie wakayaulize mabeberu na majogoo.
thanks for correction

This kind words make me worried........thinking of my MAN what the hell will he be doing right now......

its not that easir to accept that thing no matter how many times u have been alerted
dont worry too much!! jaribu kupunguza 'strictness' kwenye monogamy
 
Hakuna cha maana hapa,hakukuwa na ulazima wa kukomenti majibu ambayo wengine inabidi tuanze kuuliza ulimaanisha nini?Kuna huna michango ya mana na ya kueleweka thread zingine hupaswi kukomenti vinginevyo komenti kama hii hazina maana yoyote.

leo sijaona thread ZAKO utaanzisha saa ngapi!!!!!!!

ka haina maana si ungepita kimya kimya.....wenye kujua maana yake wameelewa nashangaa we
kutoka ulikotoka huyo na kudandia treni kwa MBELE.......nna mashaka na jinsia yako......
 
Afanaleki, kifo hakina breki!!!!
 
Just a single test,

Msindikize mtu wa jinsia ya KE shopping (na endapo kamba yake ni ndefu), utaona viroja....

Wewe unayaweza hayo?

Au topic ni kuridhika kwenye ngono tu??

Babu DC!!

hapa sana sana tunaongelea kwenye mapenzi

ya SHOPPING weka kapuni kwanza babu.......

halafu hivi nilikumbuka kukupa heshima yako kweli????????
 
hapa sana sana tunaongelea kwenye mapenzi

ya SHOPPING weka kapuni kwanza babu.......

halafu hivi nilikumbuka kukupa heshima yako kweli????????

Hata kwenye mapenzi,

Kudhani kwamba mtu ataridhika ni sawa na kuamini kwamba ukila leo unamaliza njaa ya mwaka mzima...

Kitu cha msingi ni kuushinda moyo na kuuthibiti ili usijekabiliana na karaha za kudandia kila kitu hadi mitetea ya kuku....

Kwako wewe kudai kwamba unaridhika ni kujipa faraja ya muda tu.....

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom