Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,079
- 12,319
Hiyo "kitugani" ndio nini?Hiyo "nini" ndio kitu gani?
Hiyo "kitugani" ndio nini?Hiyo "nini" ndio kitu gani?
Asante best!!! Huo mchezo ukitaka kucheza eti mtoke droo itakula kwenu woooteNimekuelewa my kaka
Kweli mwanaume haridhiki hata umpe nini hawezi kutosheka,,,,,,,,,
But ukimpatia na kumjulia hakupi shida............. atazunguka kote mwisho wa siku lazima arudi!""!"
Hata kwenye mapenzi,
Kudhani kwamba mtu ataridhika ni sawa na kuamini kwamba ukila leo unamaliza njaa ya mwaka mzima...
Kitu cha msingi ni kuushinda moyo na kuuthibiti ili usijekabiliana na karaha za kudandia kila kitu hadi mitetea ya kuku....
Kwako wewe kudai kwamba unaridhika ni kujipa faraja ya muda tu.....
Babu DC!!
Tatizo mmezoea kupewa na kupokea, wakti wa kutoa ukifika mwapata tabu...
Hela, jifunze kuigharamia stareh uone kama utasalitiwa.
Kakuongopea nani?Afanaleki, kifo hakina breki!!!!
Ile unayo jipimiaga.kama starehe zipi mkuu?
Hii kauli si ngeni, wanawake wengi nimewasikia wakilalama
kwa msemo huu...
Naomba wenyewe wajibu....
Hivi kwani wanawapa nini wanaume?? Tujadili
hakuna tabu, tunachokipokea ndicho tunachotoa.
Lakini kumbuka pia tumeambiwa tusinyimane, sasa hapo si unaona sio lazima hadi tuombe
hapo wanamaanisha ukiombwa utoe. alichokupa mungu kumnyima mwenzio dhambi ati.
Ukiombwa utoe chap chap...usipoombwa ugawe chap chap
Uorodheshe na mazuri halafu ufanye kulinganisha halafu ufanye maamuziunataka niviseme hapa......ukija home utakuta nilishaviorodhesha tayari
ewaaaah! sio kukibana bana mwishowe kiliwe na nyenyere bure.