mij
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 1,993
- 2,128
Ni legal ndio maana hawajawahi kubughudhiwa na serikali, na sio makusudi kwasababu ya ufinyu wa nafasi.
Ref: kariakoo.
Wajenge misikiti mikubwa na waache kuziba barabara. Tumeona makanisa mengi tu yapo kando ya barabara lakini Jumapili hawazibi barabara hata kama watu ni wengi. Waache kusingizia nafasi finyu bali wanunue maeneo makubwa ili watosheleze. Na nyie mnaosema ni dakika chache tu mna maana gani wakati watu wa maeneo husika wanashindwa kufanya biashara zao kisa