Safi nipe namba yako pm.Ni kuvimuliana kunatakiwa hapo. Kama vile mtu ANAKUJA na loudspeaker sokoni. Au stand ya basi. Kusema neno. Uvumilivu na kupendana ndio jambo muhimu
Ni kweli jamani tuvumiliane ni ijumaa mpaka ijumaa tu.Huku kariakoo mitaa yote inafungwa kila ijumaa
Ni kweli kabisa mkuu.Kwani huwa wanaifunga kila siku hiyo barabara ama ni kwa ajili ya Siku ya Ijumaa tu pale waumini wanapokuwa wengi kuliko uwezo wa Msikiti? Pamoja na hilo Ijumaa yenyewe ni Wastani wa Nusu SAA hadi SAA 1 kweli ndo iwe Nongwa kiasi hicho Jamani? Hapana, tupunguze kuzoza Waungwana!!!
Kuvumiliana tz kawaida. Hiyo kelele ya lugha isiyo julikana makanisa kila upande Pepo toka spiker kubwa kama nightclub. Kawaida. Ukijitambua fuata yanayo kuhusuPale imani yako inapoleta kero kwa wengine ustaraabu kitu muhimu sana
Safi mkuu.waacheni wafanye ibada,M/Mungu angekuwa ameshatuangamiza kama sio hawa watu wachache wanaofanya ibada
AaminNadhani wanakibali cha kufanya hayo acha chuki nadhani ungekuta ni kigodoro ndo kimefunga njia ungeshiriki .....
Basi huo uwe ukumbusho kwako kua kuna mungu na pia wachamungu ndo usalama pekee unaoepusha ulimwengu huu na maafa.
Mungu akuongoze upende ya kheri uchukie ya Shari.
Hata kama dakika moja, is that legal?Ni muda wa saa ngapi hicho kitendo hutokea? kinadumu kwa muda gani kikitokea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyani haoni kundule.hakuna wanaokera kama hawa wanaopiga miziki using kucha daily eti wanaabudu! Kibaya zaidi ukichungulia ndani uwenda wapi 5 tu.
Aisee we jamaa upo vizuri sana.Ni simple! Kama hiyo ni kitu ambayo huwa inafanyika mara kwa mara labda kila ijumaa na muda unajulikana why upite hapo??? Vitu vungine havihitaji akili nyingi kuwa muelewa.
Tunasema kuziba barabara, ....Nyani haoni kundule.hakuna wanaokera kama hawa wanaopiga miziki using kucha daily eti wanaabudu! Kibaya zaidi ukichungulia ndani uwenda wapi 5 tu.
Arabuni wanafanya ibada ya kufa mtu, bado Israel anawatandika kufa mtu! Huyo Mungu yuko wapi? Bakwata wamekosa mishahara, huyo Mungu yuko wapi? Kusali hakutawafikisha popote ni kupoteza muda tu!waacheni wafanye ibada,M/Mungu angekuwa ameshatuangamiza kama sio hawa watu wachache wanaofanya ibada