Hata kama ni kuswali, ila huu si Ustaarabu jamani

Hata kama ni kuswali, ila huu si Ustaarabu jamani

Status
Not open for further replies.
Hii ishu inazinguaa afuu na Viongozii pia wanaangalia tuu...!! Wewe kuswali kwako usitupee shida sisi...si Mjenge misikiti mikubwaa... na asubuhi yalee mavipaza sauti huwa yanakeraa sanaaaaaaa...sanaaaaaaaaa...


Hizi kelele mnatusaidiajee kwa mfano za mikesha

 
Hizi kelele mnatusaidiajee kwa mfano za mikesha


Wote wakatazwe, siyo eti kwa vile ni wakristo. Issue ni usumbufu kwa wengine na kufanya s if kusali/kuswali ni haki kuvunja haki za wengine tusio na dini au hata wenye dini
 
Nyani haoni kundule.hakuna wanaokera kama hawa wanaopiga miziki using kucha daily eti wanaabudu! Kibaya zaidi ukichungulia ndani uwenda wapi 5 tu.
Nao pia wanakera.
Mngewafungulia thread yao.
 
Umepotoka sana, km unaona vibaya Mungu kuabudiwa na kutukuzwa kwa takribani nusu saa tuu ktk siku saba za wiki na huku yeye ndie aliekuumba ww, ardhi na kila kilichomo na neema zake nyingi kwako hata umeweza kuwa na kasmartphone unakotumia kuonyesha eti unakerwa muumba kuabudiwa na kutukuzwa ktk ardhi yake? Nadhani ikague imani yako vizuri, shetani ameweka makazi ktk akili na mwili wako pole sana !!!!
Tusilazimishane imani.
 
Wote wakatazwe, siyo eti kwa vile ni wakristo. Issue ni usumbufu kwa wengine na kufanya s if kusali/kuswali ni haki kuvunja haki za wengine tusio na dini au hata wenye dini
Kama wote wakatazwe hapo sawa Ndio maana watu Humu wakasema tuvumiliane tu. Ukitaka muislam akatazwe na Hao wanaofanya Maombi usiku mzima, ibada za kelele zipigwe marufuku zote. Sio unaongelea upande Mmoja .kwamba wao ni kero Kwenye Jamii.
 
Wote mnaogombana juu mila na destuli za kizungu na kiarabu ambazo ziliwafikia nyote kwa kuambukizwa tu,rudini kwa mila zenu za asili/za kiafrika
 
Wote mnaogombana juu mila na destuli za kizungu na kiarabu ambazo ziliwafikia nyote kwa kuambukizwa tu,rudini kwa mila zenu za asili/za kiafrika
Mbona huvai magome yamiti ukatembea barabaran?? Mbona umeng'ang'ania kutumia smartphone sayansi iliyoletwa na wazungu ?
 
Kwani huwa wanaifunga kila siku hiyo barabara ama ni kwa ajili ya Siku ya Ijumaa tu pale waumini wanapokuwa wengi kuliko uwezo wa Msikiti? Pamoja na hilo Ijumaa yenyewe ni Wastani wa Nusu SAA hadi SAA 1 kweli ndo iwe Nongwa kiasi hicho Jamani? Hapana, tupunguze kuzoza Waungwana!!!
Walitaka kuanzisha huu utaratibu wa kuswali kila mahala huko ufaransa, meya wa mji kawapiga marufuku kua wanachafua mji na kuharibu ustaarabu wa mji.

Kuna haja ya kudhibiti huu utaratibu wa kujiamlia tu mnafunga barabara mnaswali. Swala ni jambo binafsi lisilete kero hadi kwa watu wengine. Imani zenu zisilete usumbufu kwa watu wengine.

Ndio maana kuna maeneo maalum ya kuswali, kama eneo halitoshi basi hameni mkajenge msikiti eneo linalowatosha ila sio kua kero kwa wengine.
 
A town tushazoea sie kila Ijumaa, baazi ya barabara utandikwa mkeka au turubai,
 
"Tupo wengi kwa hiyo ni haki yetu kuswali popote tunapopataka,uhuru wa nchi hii tumeupigania sisi tuache usitubugudhi".....if you catch what i mean!
 
Wakiwa wana sherehe za kufunga ndoa WANAFUNGA BARABARA.

Vigodoro WANAFUNGA BARABARA

Arobaini ya mtoto WANAFUNGA BARABARA

Kumtoa Mwali sijui ndo kumcheza mwali WANAFUNGA BARABARA

Wakiwa wanaswali WANAFUNGA BARABARA

Juzi kuna nchi ulaya huko imepiga marufuku watu kuswalia barabarani, Waislam: "ooh tunaonewa sana, kila mtu ana haki ya kuabudu popote pale". Duuh

Vitu vingine havihitaji hata degree.

"ELIMU, ELIMU, ELIMU"
 
Sioni kama ni kero hata k,koo wanafanya hivyi na sio kama wanapenda ila nafasi inakua ndogo hivyo watu hupelekea kufika hadi barabarani, uzuri ni kitendo cha dakika 5 tu na hutokea mara moja kwa wiki, ukishajua hilo siku hiyo wewe pita mapema la umechelewa subiri dakika 20 ndio upite watakua wamemaliza kila kitu, tukianza kukosoa vitu ndio chuki tutaitengeneza maana kuna wengine wana hubiri stand na ndan ya mabus (kero) kuna wanaokesha na miziki a.k.a rusha rohoo lol (kero) hujakutana na wahindi na yale mabaruti yao (kero) sasa kuwa kua ndio dini zetu tunapaswa kuvumiliana na kuelewana.
Kwahyo kufunga barabara ndyo suluhu kama msikiti ni mdogo?
Ni kwa nini wasipanue msikiti?
Ni kwanini wasiende sehem zilizo wazi wafanye ibada zao.
Kwanini wasikodi kumbi kubwa?
Kwanini wasifanye ibada kwa zamu?
 
"Tupo wengi kwa hiyo ni haki yetu kuswali popote tunapopataka,uhuru wa nchi hii tumeupigania sisi tuache usitubugudhi".....if you catch what i mean!
Waislam ndo mmeupigania uhuru wa nchi hii?

Na vipi akitokea mgonjwa mwenye kuhitaji kukimbizwa hospital haraka kwa kutumia hiyo barabara huoni ni tatizo hapo.?
 
INGEKUWA ni BAIKOKO ungeona sawa tu,, ila sababu ni waislam umeanzisha uzi,,, Hata sisi huku kwetu kuna MIKENGELE INAPIGWA alfajiri,, kutoka kanisani,,, aisee ni usumbufu mtupu,, hii pia ni kero
Huna hoja. Kengele zinapigwa mashuleni mbna huoni kma ni kero?
 
Waislam ndo mmeupigania uhuru wa nchi hii?

Na vipi akitokea mgonjwa mwenye kuhitaji kukimbizwa hospital haraka kwa kutumia hiyo barabara huoni ni tatizo hapo.?
Kwani Hakuna sehemu Nyingne ya kupita?
 
242cc4e08ffb7bb18aacd87a4240cb1a.jpg
d835916bdd7b27df5e343252badd8c70.jpg
104e5ceb7d9b4cfb2ba593fc56d4527d.jpg


Naomba nianze kwa kudeclare interest kuwa hii sio Mada ya kukashfu dini.

Mi napenda kufikisha malalamiko kwa wahusika pitia JF.

Mwanza mtaa wa Lumumba imezuka hii tabia ya kufunga barabara muda wa ibada katika msikiti wa Lumumba. Binafsi sielewi sababu ya kuamua kufunga barabara ila ningependa kuzungumzia kero tunayopata baada ya barabara kufungwa.

Huu mtaa wa lumumba upo katikati ya mji wa mwanza na unabiashara mbalimbali zinazoendelea. Pale wenzetu wanapoamua kufunga barabara muda wao wa ibada kusema ukweli imekuwa kero kwa baadhi yetu maana hata biashara zetu husimama pia na hata kusababisha Traffic jam.

Mi ngependa kutoa ushauri kwa wahusika watafte njia mbadala ya kuhakikisha hii tabia ya kufunga barabara inakoma. Hivi kila msikiti na kanisa hapa mjini ukifunga barabara je itakuaje?
Mkuu,hakuna ubishi kuwa ww una chuki binafsi na uislam na waislam. Mbona ktk shughuli nyingine za kijamii mfano maandamano,misiba,na hata kharus barabara zinafungwa na haionekani kuwa ni kero? Hivi hao viongoz wa serikali wakipita barabaran hamsimamishwi wote had wao wapite kwanza? Hapo hakuna kero?

Ndugu zangu maswala ya imani kila mtu anaona yupo sawa na ukijaribu kumuingilia ktk kutimiza wajibu wa imani yake hapo hawez kukuelewa na mara nyingi machafuko yanaanzia hapo.

TUVUMILIANE!!!!
 
Rubbish, leta sayansi siyo kelele, sitaki kelele. Leta ushahidi kuwa Mungu yupo, sitaki kelele za Imani... imani kuamini kuwa kitu fulani ni cha kweli, kweli kabisa bila ushahidi wa kisayansi. Siko hivyo. I need evidence.
Hahaha unajua umenichekesha sana, unapomwambia alete evidence kama Mungu yupo na hapo hapo unasema bila ushahidi wa kisayansi huwezi kuelewa je Sayansi ni nini?? nani aliileta sayansi?? na je akikuuliza wewe leta ushahidi kua Mungu Hayupo utaleta??

Unajua mambo ya imani bhana yako very sensitive kaa ukijua hapo nyote mna imani mbili tofauti, wewe una amini Sayansi na mwenzio ana amini Mungu nyote ni waumini japo mmoja anahisi yeye hana imani lakini kile unachoamini ndio imani yenyewe hiyo.

Umenikumbusha kuna mdahalo mmoja hivi tulifanya mada ilikua NANI ALIMTENGENEZA MWENZIE?? BINAADAM ALIMTENGENEZA MUNGU AU MUNGU ALIMTENGENEZA BINAADAM??
daaah ilikua hot sana maana watu walijaribu kushusha nondo mwisho wa siku wanarudi mule mule si mwenye dini si mwanasayansi.

was so good. lol.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom