sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,281
- 7,956
Mitaa yote inafungwa? acha uongo mkuuHuku kariakoo mitaa yote inafungwa kila ijumaa

[emoji23][emoji23][emoji23] humtakii mema mwenzioNenda kakatize japo kwa nguvu uweze kupita siku nyingine ikikutokea
Wewe acha hizo, unayo dini? Tengezeni barabara za wasio na dini mpite peke yenu, ila kama ni hizi ambazo wakristo na waislam kodi zetu zinahusika tutaabudia humohumo kwa kuvumiliana, ni kitu kina muda na siku maalum, na njia mbadala zipoHata kama dakika moja, is that legal?
Kwahiyo wewe umeamua kumlinganisha Mungu na chama cha siasa, dah! Tumetofautiana sana, tena sanaHapa ndipo tutakapoona unafiki na ubinafsi wa binadamu, kuna watu humu watatetea kitendo hiki japokuwa si sahihi, ingekuwa kwa mfano ni wanachama wa CCM au UKAWA wameamua kufunga barabara hata kwa dakika 2 bila shaka kuna watu hao hao wanaotetea kitendo hiki wangekilaani kwa nguvu zote.
Wazungu hawafungi barabara wakati wa kuabuduHata rais wako anakiri kuwa na stress za kimaisha hadi leo
Kinachowasumbua ni infiriority complex kuwa hamuwezi na kuiponda Afrika wakati mnaishi Afrika
Rejea nilikuwa najibu nini ndiyoWazungu hawafungi barabara wakati wa kuabudu
Kwan ni kila cku wanafanya ivo? ... Af shukuru wanafanya kitu kwa nia njema n c nia mbaya, ww una lingine tu! Acha kutoa uzi wny viasilia vya kutaka uchochez... Au ww mpagani nn?![]()
![]()
![]()
Naomba nianze kwa kudeclare interest kuwa hii sio Mada ya kukashfu dini.
Mi napenda kufikisha malalamiko kwa wahusika pitia JF.
Mwanza mtaa wa Lumumba imezuka hii tabia ya kufunga barabara muda wa ibada katika msikiti wa Lumumba. Binafsi sielewi sababu ya kuamua kufunga barabara ila ningependa kuzungumzia kero tunayopata baada ya barabara kufungwa.
Huu mtaa wa lumumba upo katikati ya mji wa mwanza na unabiashara mbalimbali zinazoendelea. Pale wenzetu wanapoamua kufunga barabara muda wao wa ibada kusema ukweli imekuwa kero kwa baadhi yetu maana hata biashara zetu husimama pia na hata kusababisha Traffic jam.
Mi ngependa kutoa ushauri kwa wahusika watafte njia mbadala ya kuhakikisha hii tabia ya kufunga barabara inakoma. Hivi kila msikiti na kanisa hapa mjini ukifunga barabara je itakuaje?
Nimekaa UK na mitaa ya Brune tulikuwa tunaswali na waenyeji wanatuelewa ni muda mfupi tu. Na ni kutokana na ufinyu wa eneo. Siku zingine usipende kutoa ushahidi wa uongo, eti wazungu hawafungi barabara wakati huko nje kwenyewe hukafikaWazungu hawafungi barabara wakati wa kuabudu
Hujafafanua kuhusu kufungwa huko kwa barabara ni kila siku na kila kipindi chao cha swala au ni kwa siku maalum au kwa wakati upi? Hiyo barabara hufungwa?![]()
![]()
![]()
Naomba nianze kwa kudeclare interest kuwa hii sio Mada ya kukashfu dini.
Mi napenda kufikisha malalamiko kwa wahusika pitia JF.
Mwanza mtaa wa Lumumba imezuka hii tabia ya kufunga barabara muda wa ibada katika msikiti wa Lumumba. Binafsi sielewi sababu ya kuamua kufunga barabara ila ningependa kuzungumzia kero tunayopata baada ya barabara kufungwa.
Huu mtaa wa lumumba upo katikati ya mji wa mwanza na unabiashara mbalimbali zinazoendelea. Pale wenzetu wanapoamua kufunga barabara muda wao wa ibada kusema ukweli imekuwa kero kwa baadhi yetu maana hata biashara zetu husimama pia na hata kusababisha Traffic jam.
Mi ngependa kutoa ushauri kwa wahusika watafte njia mbadala ya kuhakikisha hii tabia ya kufunga barabara inakoma. Hivi kila msikiti na kanisa hapa mjini ukifunga barabara je itakuaje?
Kweli wajipange wajenge!![]()

[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]Hapa sitii neno. Maana ikifika mijadala yenye mrengo wa kiimani, hata wenye PhDs akili zao wanaziweka pembeni.
Nia njema ya kukwamisha barabara ya umma?Kwan ni kila cku wanafanya ivo? ... Af shukuru wanafanya kitu kwa nia njema n c nia mbaya, ww una lingine tu! Acha kutoa uzi wny viasilia vya kutaka uchochez... Au ww mpagani nn?