Hasara za meditation

Hasara za meditation

Meditation ni kitu simple sana hasala zake ni chache kulinganisha na hasara na tempo ipo nyuma pale muhimbili
 
Meditation haina hasara, zaidi ya kuonekana mtulivu, mstaarabu, kutokupenda mambo ya kijinga, kuwa fit na mwenye maamuzi ya busara, usishangae kukosa hamu ya kufanya mapenzi mara kwa mara kama zamani, ni nzuri, yaweza kukufanya na kuonekana uko kivyako vyako, I totally recommend it to everybody, kama utaiweza ofcourse..
The truth...!
 
Back
Top Bottom