Has Kikwete lost his "Legitimacy" to Lead?

Has Kikwete lost his "Legitimacy" to Lead?

Kulikuwa na kamati tatu mkuu,
Kamati ya makatibu Wakuu (Nishati, Fedha)
Kamati ya wanasheria
Kamati ya wataalam.
JK aliongea na kamati ya maPS, akaambiwa aache Richmond, Dowans ikauchukua mkataba, na Tanesco wakalipwa hela zao due to incapacity.Hapo mimi sioni kosa.
Kamati ya wataalam, ndiyo iliyokuwa inashughulika nani apewe contract na Ofisi ya waziri mkuu ilikuwa inafuatilia kwa ukaribu mchakato mzima.
Msabaha na balozi Kazaura waliiambia kamati ya bunge kuhusu Richmond kuwa ni kampuni ya Lowassa na Rostam.... mbona hamzungumzii hili?
Mbona hamzungumzii mkataba uliosainiwa kati ya Yona na Gire kuhusu bomba la mafuta?
Tusidanganyane, Mkapa,Yona , lowassa na sumaye ni maswahiba waliojitahidi kutengeneza fedha nyingi through energy na ni lazima wawajibishwe, ikiwezekana wanyongwe.
JK alikataa mkataba usivunjwe,na yeye si RICHMOND,EL alitaka uvunjwe na yeye ni RICHMOND...Ndivyo mnavyotaka nielewe.

Hii ndo shida ya kudekeza wanasiasa mantuona sisi ni kama mapunguwani.

Hii issue si ya kisiasa...Kwasababu mahakama huru haitaangalia nani alikuwa chama gani.

Kama katiba na sheria za nchi vimevunjwa na wale walioapa kuilinda,then wapi uhalali wa kuongoza?
 
Sheria gani imevunjwa a nani?
Hivi wewe ukiwa rais, na ukaambiwa subiri usivunje mkataba na ukamwambia waziri wako mkuu asubiri utakuwa umevunja sheria?
Aliye wasisitiza TANESCO waingie mkataba na Richmond ni nani?..... mbona hutaki kujibu hili swali?
Yaani JK kumwambia Lowasa asubiri maana yake ni kuwa hiyo kampuni ni yake?
Kutaka kuuvunja mkataba haimaanishi kuwa hahusiki, inamaanisha maji yamefika shingoni na hela za CRDB zimeshachukuliwa,
Mbona Mkapa karudisha Kiwira?.... hii inamaanisha ilibidi arudishe au amefanya hivyo kwa kuipenda nchi?
 
RICHMOND llikuwa kampuni feki naona umesahau hilo.

Utabembelezea kampuni feki ilipwe kama si yako?
 
RICHMOND llikuwa kampuni feki naona umesahau hilo.

Utabembelezea kampuni feki ilipwe kama si yako?
Kampuni hiyo feki ilikuwa bado inadeal na URT tangu enzi za Yona, jaribu kuifuatilia hii kampuni.
Walichotegemea ni kupata mkopo na kuagiza generators na kuanza kula hela. It didn't work that well. You can try to separate Lowassa with this, but he is criminally and ethically responsible, based on testimonies.
 
Hapa kusema kweli kuna utata mkubwa sana wa kiapo cha rais...

Watanzania watakumbuka sana JK alikana kutoitambua Richmond na EL kasema mbele ya mkutano wa chama chake CCM kwa kumkumbusha rais alipompigia simu akiwa nchi za nje kuhusiaa na Riochmond akasema anasubiri ushauri kutoka kwa makatibu wa wizara - Ina maana alikuwa anajua swala la Richmond kiasi kwamba limefika kujadiliwa...Sasa kuhutubia wananchi ukawaambia Uongo hapo kusema kweli awe anahusika na Richmond hahusiki inamweka ktk nafasi mbaya sana....Lakini ndio Bongo yetu, Kuongopa sii dhambi (kosa) ikiwa unaepusha shari..
 
Ndiyo hapo mkuu,kukana kutokuitambua,na kushindwa kuikana kwenye kiakao cha NEC,alipoambiwa na EL.

Ila SOBY inaonyesha anazo data,shida ni namna ya kumtetea JK.
 
Mkuu wangu fuatilia maana halisi ya legitimacy,nimeweka kipande cha definition hapo kwenye bandiko la kwanza. Tafadhali jiridhishe mwenyewe pale legitimacy inapoanzia na pale inapoishia...Legitimacy ni za aina nyingi depending on the type of govt.

Ukitaka nitakuwekea hapa,however legitimacy inakwisha kwa namna nyingi tu,achilia mbali kuwadanganya wananchi na kuwalazimishia uongo kwenye issue ambayo ni dhahiri ni uhujumu wa uchumi na Taifa!

Au umesahau kuwa RICHMOND walishindwa kuzalisha umeme licha kutakiwa kulipwa $100,0000(sikumbuki kwa mwezi ama kwa siku)...Mbali na kutumia mabavu kuongoza ambayo ndiyo sababu kubwa ya viongozi wengi kupoteza legitimacy,pia...Legitimacy inaweza kwisha endapo viongozi/kiongozi ataamuwa kufanya kinyume na haya...

Mkuu umeweka kipande cha definition ya legitimacy lakini at the same time umesema legitimacy ziko za aina nyingi? Una maana hiyo definition ni universal/applicable kwa ligitimacy zote? Kama ziko legimacy za aina nyingi, ipi ina- apply kwa Kikwete and how? The more specific the better. Otherwise, tutakuwa tunaongelea in abstract terms.
 
Hapa kusema kweli kuna utata mkubwa sana wa kiapo cha rais...

Watanzania watakumbuka sana JK alikana kutoitambua Richmond na EL kasema mbele ya mkutano wa chama chake CCM kwa kumkumbusha rais alipompigia simu akiwa nchi za nje kuhusiaa na Riochmond akasema anasubiri ushauri kutoka kwa makatibu wa wizara - Ina maana alikuwa anajua swala la Richmond kiasi kwamba limefika kujadiliwa...Sasa kuhutubia wananchi ukawaambia Uongo hapo kusema kweli awe anahusika na Richmond hahusiki inamweka ktk nafasi mbaya sana....Lakini ndio Bongo yetu, Kuongopa sii dhambi (kosa) ikiwa unaepusha shari..
Unajua mkuu, 75% ya watanzania wanaamini DOWANS hawastahili kulipwa hata senti moja. Hii intokana na watu kama nyinyi kuupotosa ukweli, intentionally or unintentionally.
Kusema haijui Richmond, inamaansha yeye hawajui hao richmond na hajawahi kuonana nao. Haimaanishi kuwa hajui kuna kampuni inaitwa Richmond na imefail mkataba na TANESCO due to incapacity. Kwani nani alikuwa haijui Richmond ambayo hata waeskimo wanaijua kwa kuisoma magazetini? Hivi wewe inakujia akilini mwako kuwa alimaanisha hajawahi kuisikia au alimaanisha hawajui hao richmond ni kina nani? Meaning personally.
Mbona mna establish connection kati ya JK na richmond based on stupidity on y'all side?

Halafu mna ignore report ya Shelukindo inayomhusisha Lowassa, based on the same stupidity?
I hope this sh#t is not religious cause that will be sickening!
 
Wakuu JF salaam,

- Wote tumeyasikia yote yaliyosemwa kwenye kongamano la Mwalimu's Foundation, infact hata Mangula naye amejitokeza na kusema yake kuhusiana na ubovu wa serikali ya sasa chini ya uongozi wa Rais wetu Mheshimiwa Kikwete, na cha kutisha sana ni pale Rais aliporudi nchini na kudai kwamba anajitayarisha kuwajibu wale wote tunaohisi kwamba uongozi wake una matatizo, na akadokeza kwamba wengi tunaomkosoa tunasumbuliwa na chuki za binafsi.

- Ninasema hivi, wakati Rais anajitayarisha kujibu mapigo ni vyema na sisi wananchi tukaweka wazi our case against Rais na serikali yake, tena with facts! Sasa tafadhalini sana ndugu zangu tujitahidini kuweka facts za mapungufu ya Rais wetu wa sasa, yaani Mheshimiwa Kikwete na serikali yake toka ashike madaraka, miaka minne iliyopita!

- One thing ninataka kuamini ni kwamba wote hapa tunakubaliana kwamba toka ashike madaraka hakuna hata moja zuri alilolifanya, lakini kama lipo lisemwe hapa! Labda tukimuwahi kabla hajajitokeza tunaweza kupunguza some nonsense kwenye majibu yake na pia tutawasaidia ma-Prosecutors wetu, hasa DPP na Hosea kuanza kutayarisha kesi againts mafisadi!

Respect.

Field Marshall Es!

nikisoma hii, na nikisoma ile thread uliyoanzisha kuwa ni the best president ever, napata mashaka sana na ugeugeu
 
Tatizo kubwa linalolikabili taifa hili ambalo Mheshimiwa Rais hakulipa nguvu zinazohitajika ni usimamizi wa sheria kuanzia mahakama zenyewe, vikosi vya ulinzi na mhimili mzima unaotakiwa kuongoza sheria za nchi. Bila ya free and transparent legal system wadowezi wataendelea kulimega taifa kidogo kidogo. Nathubutu kusema kwamba mahakama zetu si competent wala hazina muelekeo wa uwazi na uyakinifu wa kusimamia sharia za nchi kwa uadilifu.

CCM imejengwa kwa misingi mizuri ya ethics na tradition za fairness lakini kuwepo kwake madarakani kwa muda mrefu kumewafanya wakuu kusahau azma nzima ya mabadiliko na kinachotoa mwanya wa corruption etc ni ulindwaji wa udhalimu unaofanywa na vyombo vinavyotakiwa kulinda heshima ya nchi kwa kufuata misingi ya sheria. His excellency dr Kikwete is too pally pally with the people in the system anatakiwa kukaza kamba ya kweli ili kurejesha heshima ya chama na mageuzi mapya ya demokrasia ndani ya chama ili kiweze kujiendesha vyema katika dunia ya sasa ya utandawazi.

ni muhimu sana kwa rais kufuatilia mada kama hizi badala ya kujifungia ndani ya kasri yake akitegemea wanaomramba miguu kumjulisha hali halisi ndani ya nchi ambayo kwao always ni safi bwana. Ikiwa ataamka leo, na kutoa uhuru wa kweli kwa mahakama, na kuwa na mahakimu walio competent, fair na waadilifu, akaweka meno makali katika TAKURURU hata ikiwa kwa kutoa nafasi kwa uongozi wa juu katika taasisi kama hizi kuendeshwa na wageni kwa muda wa kuondosha hii culture ya udugunisation ili kuliandaa taifa kwa misingi ya future ya uwazi na uadilifu basi mabadiliko yatafanyika. Bila ya mahakama competent hakuna litakalokuwa.
 
Mmmh...........ubaya/uzuri wa JK kumbe unategemea kama unataka kugombea cheo ndani ya CCM
 
- Mmeanza kutengeneza thread na kuziweka majina ya FMES, kumbe nawatesa hivi poleni sana, jana mlikuwa mnanizuia leo mmeanza ktengeneza thread za uongo, duh! now I know kumbe ni kiboko yenu!!

wembe ni ule ule!!

Es
 
Le Mutuz.......banned of course
 
- Mmeanza kutengeneza thread na kuziweka majina ya FMES, kumbe nawatesa hivi poleni sana, jana mlikuwa mnanizuia leo mmeanza ktengeneza thread za uongo, duh! now I know kumbe ni kiboko yenu!!

wembe ni ule ule!!

Es

Kwi kwi kwi tehe tehe, Uchi mtu mzima tena mtaa wa kongo mleteeni japo kanga! Kwi kwi kwi tehe tehe!
 
Duh. Naona Mutuz hapa aliamua Kuzungumza Udhaifu wa Mwenyekiti wake bola Kumung'unya Maneno. Haya Maneno lazima ndiyo yatakuwa yanazungumzwa na Familia nzima ya Malecela

Mnampaka JK Mafuta kwa Mgongo wa Chupa akiwageuzia Kisogo Mnasema "Amepoteza Uhalali wa Kuongoza"

JK watch your step Kikulacho Kingiani Mwako hii Familia bado Ina Kinyongo cha Baba kutoingia Ikulu
 
I feel quite nostalgic for the days when we used to 'kumkonya nyani giladi mchana kweupe' with no bull. Long gone are those days.
 
I feel quite nostalgic for the days when we used to 'kumkonya nyani giladi mchana kweupe' with no bull. Long gone are those days.

Achana na Siasa Nyani Ngabu tena ikukute Umepigikika Mkuu Tutakuona Ukikatika Mauno kwenye Bendi ya TOT na Hadija Kopa. Can you Imagine Mkuu Ngabu na Upara wako unakata Kiuno Jukwaani huku Ukwaramba Miguu watu ambao fews years ago ulikuwa Ukiwatukana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom