YEs unajua ndio maana wakati wa mkapa style alipoguisiwa issue za rushwa wote tunajua response zake . Aitumia "udikteta" kuzizima pale pale. Sasa tunaona mambo ya chama kushsika hatamu. Inawezekana Ben mkapa zile kashfa alizizima
kwa sababu ya kichama na sio sababu ya utaifa kwanza. Then inabidi watanzania tujiulize Je
UWT ipo kwa ajili ya nani? is it for CCM prosperity
JK knew asingeweza kutumia style ya mkapa. Otherwise angekuwa one term president maana watu tunazidi kuamka usingizini . JK wakati huo huo alijua hawezi kujitenga na marafiki wachafu. Ndio matokeo ya "sanaa" zake za
kuuma na kupuliza
Tukiweka criteria moja ya ufisadi kwenye meza kulinganisha mkapa na JK nashindwa kujua who have tried to do bette btn r ben mkapa aliyegoma kabisa au JK anayefanya
sanaa wakati anajua sana sana sana tutaishia hata kuwalipa fedha wale aliowafikisha mahakamani...........
Previusly niliona JK was better than mkapa on fighting corruption. Lakin baadaye i nlivyoona kama mwenyekiti wa chama na rais serikali yake imewshataki
chenge na
mramba mahakamni kwa makosa serious lakini chama chake kimewaruhusu kugombea ubunge nikajua ni movie zile zile kama za mkapa sema zinachezwa in flash back style. Mara unasikia Liyumba akiwa gerezani kampigiasimu JK..........
Sasa ninachoshangaa pamoja na resources zote na machinery zote na "institutions" zote alizonazo na anazotakiwa kuwa nazo
Rais wa nchi bado inaonekana kama Lowasa ndio mbabe. Najuliza na najaribu kutafakari hivi JK ndo angekuwa on lowasa shoes na Lowasa ndo angekuwa on JK shoes katika current situation mambo yangekuwaje.
kwa kwei simfaglii sana JK lakini ateast nafurahi
uchonganishi wake umeleta mchezo uwanjani atleast Lowasa leo anacheza winga number 7 (na sio kiungo number aliyotaka) . but zaidi nachukia kuona kumbe unaweza kuwa rais wa Tanzania lakini kuna mtanzania au watanzani wakawa wamekuweka mfukoni.
Cha kusikitisha zaidi ni kuwa
- ndani ya ya maslahi ya chama ni ya muhimu zaidi ya maslahi Taifa .
- Iinaoenekana hata wa philosphy ya UWT kuna wasi wasi kuwa kuparaganyika kwa CCM. ni jambo baya kwa taifa, but kuparaganyika kwa vyama vingine ni jambo jema kwa taifa.........