Has Kikwete lost his "Legitimacy" to Lead?

Has Kikwete lost his "Legitimacy" to Lead?

- Mmeanza kutengeneza thread na kuziweka majina ya FMES, kumbe nawatesa hivi poleni sana, jana mlikuwa mnanizuia leo mmeanza ktengeneza thread za uongo, duh! now I know kumbe ni kiboko yenu!!

wembe ni ule ule!!

Es
Mods,
Tusaidieni. Member muhimu na wa siku nyingi mwenye hoja nzito kama FMES hawezi kufanyiwa hivi.
 
Mods,
Tusaidieni. Member muhimu na wa siku nyingi mwenye hoja nzito kama FMES hawezi kufanyiwa hivi.

Mkuu WildCard unataka hii thread Ipotezwe? Kweli Siasa Maji taka. Yaani sijui JK anamfikiriaje huyu Mshikaji. Dah
 
Last edited by a moderator:
- kwa kuanza ninasema kwamba Rais, ameshindwa kuwachukulia hatua za kisheria wahusika wote wa ubaradhuli wa Richimond, ambao umeliletea hasara kubwa sana taifa letu, na haya yamethibitishwa na bunge letu kupitia kamati yake maalum ya Mwakyembe.

- Kamati hii ilifanya uchunguzi wa kisheria kwa mujibu wa katiba ya bunge laetu la jamhuri na kutoa mapendekezo kadhaa kuhusu watuhumiwa na adhabu wanazostahili, lakini mpaka leo serikali na hasa Rais, wameshindwa kuwachukulia hatua za kisheria, hasa zilizopendekezwa na bunge.

- Kwa kutowachukulia hatua wahusika, Rais amelidharau bunge la wananchi wa Tanzania na hata sisi wananchi tuliowachagua, na pia aamedharau sheria za jamhuri, hili ni tatizo lake Rais either anawaogopa watuhumiwa wa Richimond, au ni marafiki zake, au hajui wajibu wake kama Rais kwamba ndiye The Law Chief Enforcer wetu.

- Sasa hii ni moja ya sababu muhimu ya baadhi yetu wananchi kuamini kwamba serikali yake yaani Rais Kikwete, imeshindwa uongozi na ikibidi yeye na wenzake waachie ngazi, maana tunao wananchi wengi sana wenye uwezo wa kuongoza ipasavyo, ambao wataziheshimu sheria zetu badala ya kuzichezea kwa kutumia mahela yetu mengi sana kuigharamia kamati ya uchunguzi kama ya Mwakyembe na kuishia kuificha uvunguni ripoti yake.

Respect.

FMEs!

Mungu na Mtumeeeeee

" Kikwete the Best Ever" FMES
 
Mods,
Tusaidieni. Member muhimu na wa siku nyingi mwenye hoja nzito kama FMES hawezi kufanyiwa hivi.

- Dancing to my tunes, I am the master of this game bro and finally I got you dancing to my songs!! na bado huu ni mwanzo tu! ha! ha! ha!

Es!
 
- Mmeanza kutengeneza thread na kuziweka majina ya FMES, kumbe nawatesa hivi poleni sana, jana mlikuwa mnanizuia leo mmeanza ktengeneza thread za uongo, duh! now I know kumbe ni kiboko yenu!!

wembe ni ule ule!!

Es

Kwi kwi kwi tehe tehe, Uchi mtu mzima tena mtaa wa kongo mleteeni japo kanga! Kwi kwi kwi tehe tehe!

I feel quite nostalgic for the days when we used to 'kumkonya nyani giladi mchana kweupe' with no bull. Long gone are those days.

Achana na Siasa Nyani Ngabu tena ikukute Umepigikika Mkuu Tutakuona Ukikatika Mauno kwenye Bendi ya TOT na Hadija Kopa. Can you Imagine Mkuu Ngabu na Upara wako unakata Kiuno Jukwaani huku Ukwaramba Miguu watu ambao fews years ago ulikuwa Ukiwatukana.
Mkuu Nyani Ngabu, Albedo MTAZAMO,
Check out that shity..!! Kweli mwanaharamu ni mwanaharamu and a fool at forty is a fool indeed!
 
Last edited by a moderator:
- Dancing to my tunes, I am the master of this game bro and finally I got you dancing to my songs!! na bado huu ni mwanzo tu! ha! ha! ha!

Es!
Pamoja sana Mkuu. Ndani ya JF haturuhusu uchakachuaji. Hayo yanafanyika kuleee!
 
Mkuu naona umeamua kutumikia kafiri!

- ha! ha! ha! ha! ha! ha! you know kuna one thing inanichekesha sana kwani ni lini niliwahi kuwa Chadema, when was that? Hebu mtu mmoja anayejiamini na ushahidi ajitokeze hapa aseme kwa ushahidi kwamba mimi niliwahi kuwa Chadema at anytime of amy life when was that? ha! ha! ha! ha!

- Yuo guys ni mabingwa wa matusi, ni mabungwa wa umbeya, ni mabingwa wa tetesi, ni mabingwa wa majungu, kidogo mumharibie msichana masikini wa watu kazi yake Ubalozini mlipoanza kudai yeye ni mimi, kila kukicha mna majungu mapya, eti sasa mimi ni LE Mutuz halafu siku nyingine mimi ni William Malecela, yaani inanichekesha sana!! ha! ha1 ha! h!!

Es!
 
Pamoja sana Mkuu. Ndani ya JF haturuhusu uchakachuaji. Hayo yanafanyika kuleee!

- Kumbe siku hizi wewe ndiye mmiliki wa JF, saafi sana sikujua hilo maana ni majuzi tu nilikuwa Brela kwenye faili la kumiliki JF sikukuona, au unataka niweke copy hapa ya wamiliki wa JF as per Official Government Document kutoka Brela? ha! ha! ha! ha!

Es!
 
- ha! ha! ha! ha! ha! ha! you know kuna one thing inanichekesha sana kwani ni lini niliwahi kuwa Chadema, when was that? Hebu mtu mmoja anayejiamini na ushahidi ajitokeze hapa aseme kwa ushahidi kwamba mimi niliwahi kuwa Chadema at anytime of amy life when was that? ha! ha! ha! ha!

- Yuo guys ni mabingwa wa matusi, ni mabungwa wa umbeya, ni mabingwa wa tetesi, ni mabingwa wa majungu, kidogo mumharibie msichana masikini wa watu kazi yake Ubalozini mlipoanza kudai yeye ni mimi, kila kukicha mna majungu mapya, eti sasa mimi ni LE Mutuz halafu siku nyingine mimi ni William Malecela, yaani inanichekesha sana!! ha! ha1 ha! h!!

Es!
Kule CHADEMA watu wa aina yako....., mh! Sijawaona. Kuna mtu kakusingizia hivo? Maandishi na ha! ha! ha! kama Le Mutuz ambaye pia ni William!
 
- Mmeanza kutengeneza thread na kuziweka majina ya FMES, kumbe nawatesa hivi poleni sana, jana mlikuwa mnanizuia leo mmeanza ktengeneza thread za uongo, duh! now I know kumbe ni kiboko yenu!!

wembe ni ule ule!!

Es
Watoto wa mujini,hapa tunasema umeruka"kimanga"
 
- Kumbe siku hizi wewe ndiye mmiliki wa JF, saafi sana sikujua hilo maana ni majuzi tu nilikuwa Brela kwenye faili la kumiliki JF sikukuona, au unataka niweke copy hapa ya wamiliki wa JF as per Official Government Document kutoka Brela? ha! ha! ha! ha!

Es!
Weka! Wapi nimesema mimi ni mmiliki? Nimeongea kama memba tu kwa cheo changu hiki JF Senior Expert Member. Hutaki?
 
nikisoma hii, na nikisoma ile thread uliyoanzisha kuwa ni the best president ever, napata mashaka sana na ugeugeu

A B C D E F G H I J K L M N..........Z. na kuna A E I O U hizi ndio herufi kuu, tamka kwa sauti kuu

Usipate mashaka mkuu unacholiona ndicho kilichoandikwa.
 
Kule CHADEMA watu wa aina yako....., mh! Sijawaona. Kuna mtu kakusingizia hivo? Maandishi na ha! ha! ha! kama Le Mutuz ambaye pia ni William!

- Brother jibu swali ni lini niliwahi kuwa Chadema? weka hapa!! ha! ha! ha! ha! ha!

Es
 
Kaka umekamatika JK anakuangalia kwa jicho la ugoko subiri fagio la chuma:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa
 
Back
Top Bottom