Wale team wataachana tu naomba tukutane backstage kwa majadiliano.![]()

Asante kwa kunikumbusha jina la hiyo ngoma.Waliimba wote, "Do Me"![]()
Nampenda Sana Nandy, nadhani ndo mwanamke mzuri kuliko wote Tanzania kwa mtazamo wangu.Hongere kijana Billnass
Naipenda hii kapo mnoo!nawaombea sanaWaliimba wote, "Do Me"![]()
Cheka Kwa sauti usije kupasua hicho kifua babaHahaha...ngoja nicheke ndani kwa ndani
Sio goti, amepiga magoti mawili.NakaziaAlimvisha pete kwa kupiga goti
Binti si mzima huyo kaunguakuna ngoma moja ya huyo kijana kama kumbukumbu ziko sawa aliimba"hawezi mwacha huyo binti hata kama anachangamoto ya kiafya.
Itakuwa walikuwa wananyanduana onlineSI wanasema jasiri muongoza njia alishaungua kitambo Sasa nandy hajaungua au zana zilihusika mda wote?