Harusi kuanza kulipiwa kodi

Harusi kuanza kulipiwa kodi

huku makampuni makubwa ya madini hata iyo 4% yanakwepa mpaka mahakamani mengine yakipewa misamaha...mara leo jina hili baada ya muda wanabadili...
 
na hata harusi zenyewe naona siku hizi ni kama hazipo, kulinganisha na miaka kumi iliyopita, maana kila week end mitaa ya mjini na hata kule kwenye fukwe za bahari ilikuwa ni kuonyeshana uwezo wa kifedha

Ndg harusi zipo...siku hizi hatupigi picha coco au kule agha khn ni ushamba..now days tunalipa kupiga picha serena/ramada/goldentylip nk kwenye mihotel mikubwa...unalipa si chini ya lk 2 some few minutes tu lol
 
k
Wewe ndo umepoteza mwelekeo wa kufikiri,ndo michango hadi sh elfu 50,na mtu anaandaa ndoa ya 60mls,ni sawa?
he jamani michango ni hiari ya mtu na ile hela anayotoa imeshakatiwa kodi wether katoa mfanyakazi or mfanyabiashara hamna hela isiyolipiwa kodi so kuchangia na kuikata si haki kabisaaa duuu kuleeeeeeeeeee nakuona🙂🙂🙂🙂🙂
 
Wewe ndo umepoteza mwelekeo wa kufikiri,ndo michango hadi sh elfu 50,na mtu anaandaa ndoa ya 60mls,ni sawa?

Mh michngo milioni 60 ndoa inadumu kwa wengine miezi 3 ni bora kweli ilipiwe vat
 
Kumbe ndio utajiri aliokuwa anatuambia baba mwenye nyumba nchi imejaaliwa utajiri ila haina usimamizi tu
 
Nimeona habari hii kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la jambo Leo. Kama itakuwa 18% nadhani itabadilisha sasa hizi harusi watu watafanya tu simplest ndoa kukwepa kodi na mifuko itasalimia sasa kulipia harusi
6.jpg
Habari zenu wana JF..kwa mtazamo wangu hili swala sioni kama lina logic wala mantiki yoyote ile kwasababu kwanza,mtu anapofanya harusi si anakodi ukumbi(jengo lenye kubeba ukumbi si linalipiwa kodi..?) ananunua vinywaji(hapo si kuna tax ambayo inaenda kwa serikali? ) nk...sasa tuna rasilimali nyingi tu tunashindwa kuzitumia afu kodi inatafutwa kwa nguvu..tujifunze kutoka kwa nchi za wenzetu zilizoendelea...namna wanatumia walichonacho kuzalisha kikubwa zaidi kwa ajili ya maendeleo ....By the way.. Hao wanaotaka kodi zitozwe kwenye harusi ..uliza zao walitozwaga kodi kweli?..tuwe na hekima..sio kukurupuka..kodi this kodi that...kila kitu kodi..wakusanye kwanza kodi inavyotakiwa.. Sio wadai tu kodi kila kukicha afu wanaishia kula wengine...Mungu ibariki Tanzania
 
Ndo mwisho wa uwezo wa kufikiribwa serikali hii ulipofika, eti ndo vyanzo vipya vya mapato kuiwndesha nchi! Badala ya kufocus kwenye secta za madini, gesi, kilimo, uvuvi, bandar etc wanafocus kuumiza watu kwa vikodi vya hovyo hovyo
Yaani wameshangaza....
 
wamekosa pa kukata kodi. majizi yanakula nchi wao wanakimbilia vijiharusi, sasa wataibukia kwa vigodoro
 
Yaani hii serikali haina vyanzo vingine vya mapato inataka kuingilia kwenye ndoa za watu?
 
haaa haaa nilijua tu Mkuu MO11 lazima uongezee sabab zako zileeee za kuendelea kubaki kwenye hiki CHAMA chetu cha Kudumu cha wasiooa
Imeonekana kua wa chama fulani wanafanya sana harusi kuzid wa chama kile. Hahhahahahahahahaha
 
Nimeona habari hii kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la jambo Leo. Kama itakuwa 18% nadhani itabadilisha sasa hizi harusi watu watafanya tu simplest ndoa kukwepa kodi na mifuko itasalimia sasa kulipia harusi
6.jpg
Hyo wamekosea cha kufanya hawa wanaofunga harusi wangekua wanapanda miti. Mfano kila harusi wapande miche tano kuliko wanatafuta maeneo yenye mandhari nzuri ndo wanapigia picha.. Naona ingepndeza kuliko hyo walioleta ambyo italeta kero na minung'uniko kibao kwa taifa
 
N
kama umepata ka exposure kakutembelea nchi zilizoendelea

hautashangaa hatua hii ya serikali

utajiuliza tu mbona wamechelewa??
Haha baba A i c u...nikajua utasema wasubiri kwanza kama miaka miwili mitatu afu ndo waanze..
 
Nataka tufike mbali zaidi ....

Juzi niliomba risiti kwenye choo cha kulipia.
 
Back
Top Bottom