Harusi kuanza kulipiwa kodi

Harusi kuanza kulipiwa kodi

Na wakate tu watu wanachangishana mpaka milioni 100 za harusi wakati huo huo wanawashawishi wananchi ktk majimbo yao kutochangia madawati na mambo ya maendeleo
 
Sio rahisi kiasi hicho kwa hali ya nchi ilipofikia. Lakini ni kweli Tanzania ina utajiri mkubwa sio tu kwenye madini na maliasili bali hasa kwenye raslimali watu. Watanzania ni wataratibu (ukiacha makabila machache) na wavumilivu. Kweli watu ndiyo hazina kubwa ya Tanzania. Mungu ibariki Tanzania, Mungu tubariki watanzania.

Sisi wantanzania sio wapole sema atujui aki zetu za msingi shule walio wengi amna kitu weliokwenda shule wameamua kutetea matumbo yao baada ya kutetea ambao hawakwenda shule shida inaanzia hapo
 
Sisi wantanzania sio wapole sema atujui aki zetu za msingi shule walio wengi amna kitu weliokwenda shule wameamua kutetea matumbo yao baada ya kutetea ambao hawakwenda shule shida inaanzia hapo
Elimu kweli ni muhimu. Lakini elimu isiyo bora ni bora kutokuwa na elimu kabisa. Tafuta muda jaribu kuuliza machinga au wabeba kokoto kuhusu mambo ya uchumi, siasa nk utashangaa uelewa wao. Wako vizuri mno. Halafu leta mada hiyo hiyo humu, utasikitika na uchangiaji.

Hata nje ya nchi tunaeleweka watanzania sio wakorofi.
 
Asilimia kubwa ya wakazi wa mjini wanaishi ktk nyumba za kupanga na wanalipa kodi kubwa serikali haioni fursa hii inademadema na harusi!
 
Serikali ijiandae pia kulea watoto wa mitaani maana wataongezeka sana watoto wasio na baba
 
Ndiyo wengi hawalipi kodi kabisa.

Wenye kumbi kubwa wapo wanaolipa kwa sasa lakini kuna ujanja ujanja. Kodi inakatwa kwenye advance payment tu. Inabidi TRA wawe na kitengo kidogo cha kumbi za starehe. Wajue zipo wapi na zinatoza kiasi gani na ikiwezekana wawe na EFD
Hapo waziri anakuja na na ngonjera eti haoni vyanzo? Uingereza wanaoruhusiwa kuwachangua maharusi bila kodi ni wazazi £ 3000 na bibi na babu kama sikosei ni £500 sina uhakika Kama nimepatia figure ila ukipata pesa kwa mtu baki we ni kodi kwenda mbele . Sasa hizo pesa hasa hapo bongo zinazohusu arusi ni nyingi mno na serikali iwe makini
 
Kweli sijaelewa kitu hapa. Napolipia ukumbi, mapambo, chakula, vinywaji, usafiri nk. Hao wote wanalipa kodi kwa kila senti niloyolipa. Sasa mi nilipe kodi ya nini sasa? Nijumlishe michango yoooote halafu nilipe 18% kabla ndio nianze kulipia hayo mengine au?
 
Kwa hiyo? Sasa kodi iliyoko kwenye bia, chapati, njegere, mapambo n.k haitoshi hadi akatwe mtu cash ya michango?

Nchi rasilimali kibao, lakini sasa kila kitu kitoke mifukoni kwa watu, si mwishowe tutalipa kodi ya meno? Kibogoyo tu ndio atanusurika
We unashangaa kodi ya meno? je watakapoanza kuwatoza kodi ya mattako si utahama nchi!
 
Hapo waziri anakuja na na ngonjera eti haoni vyanzo? Uingereza wanaoruhusiwa kuwachangua maharusi bila kodi ni wazazi £ 3000 na bibi na babu kama sikosei ni £500 sina uhakika Kama nimepatia figure ila ukipata pesa kwa mtu baki we ni kodi kwenda mbele . Sasa hizo pesa hasa hapo bongo zinazohusu arusi ni nyingi mno na serikali iwe makini
Una ujua na una uhakika wa vigezo wanavyotumia hao waingereza??

Pia ujue pato la mtanzania na muingereza tofauti kwa maaana ya huduma zitolewazo na serikali.

Mtanzania akiugua anatakiwa akatibiwe uingereza na siyo wote only viongozi ila siyo muingereza kuja Tanzania.

Huduma nyingine zote siyo km zetu ukiachilia mbali pato ambalo ni stable na la juu compared to us.
 
Kila kitu kinachotumiwa kwenye sherehe za harus ninaimani vinakuwa vimeisha lipiwa kodi kuanzia chakula, vinywaji hadi mavazi. Sasa kodi itakuwa inakatwa kwenye nn?

Ila kumbuka pia..hata MFANYAKAZI analipa kodi ktk mshahara wake tena kila mwezi still
Anakunywa maji yanalipiwa kodi
Anakula chakula vinalipiwa kodi
Anatembelea gari..linapiwa kodi
Ananunua mahitaji mengine
Analipa kodi ya jengo
Ingekua vyema nao wafanyakazi wasitozwe kodi ya kilamwezi cz nao wanatumia vinavyolipiwa kodi
 
Kwahyo kila atakayekuwa anaatend aruc na yeye atapashwa kulipa kodi?

Kumbuka mfanyakazi anagenerate income while haruc zinafanya expenditure ambzo znakuwa zimeisha lipiwa kodi. Sasa utakataje kodi kwenye expenditure?
 
Back
Top Bottom