Harusi kuanza kulipiwa kodi

Harusi kuanza kulipiwa kodi

Ni ukila*a wa hali ya juu...hizo ni sawa na ukimpa mwanao laki 5 akanunue laptop ambayo kwayo kuna kodi kule. Sasa inakuwaje unapompa aje mtu aseme anaikata kodi, kwa bidhaa gani hapo??? Au mzuka tu na mihemko!!!!???
 
Kama ni kweli huko serikalini kutakuwa kumejaa wapumbavu. Yaani Mimi ninunue vyakula na vinywaji ambavyo tayari serikali imechukua kwenye bia na soda na nilipie ukumbi ambao mwenye ukumbi anaulipia kodi ambayo Mimi ndiye ninayeilipa kwa njia moja au nyingine halafu bado mnisumbue kwa kodi huo ni upuuzi usio mithilika. Kwanin nikitumia milioni 100 Si nakuwa nimelipa watu au hiyo Pesa inakuwa imetumika vipi!? Kusanyeni kodi kwa niliowalipa na acheni wivu Wa kike. Au ndio yaleyale ya kulazimisha wenye Pesa zao wasifurahi kuzitumia!?
Na waishi kama mashetani...teh teh
 
Jamboleo%2B4.jpg
 
Safi sana...hii iwe njia ya ku discourage matumizi mabaya ya fedha...
Maana wangewaambia marufuku masherehe mngekuja juu...
Ni kulipa kodi tu bhaaas...
Matumizi ya mtu unayaita matumizi mabaya? Duuu wewe ndiye msomi bana mpaka unataka kuwapangia watu matumizi yao wakati kwenye uandaaji wa bajeti yake hata huijui.
 
Nimeona habari hii kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la jambo Leo. Kama itakuwa 18% nadhani itabadilisha sasa hizi harusi watu watafanya tu simplest ndoa kukwepa kodi na mifuko itasalimia sasa kulipia harusi
6.jpg
ama kweli hii ndo tanzania ya viwanda
 
Nimeona habari hii kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la jambo Leo. Kama itakuwa 18% nadhani itabadilisha sasa hizi harusi watu watafanya tu simplest ndoa kukwepa kodi na mifuko itasalimia sasa kulipia harusi
6.jpg
END OF THINKING CAPACITY PETIOD
 
Wakuu hivi hii ishu ya kudai risiti kila Huduma unayopewa au kununua na kuuza inatumika hata kwa wauzaji na wanunuaji wa majeneza?
 
habarini!!!!!
Nimeona tangazo hilo kwenye gazeti la JAMBO kuwa kuna harakati za kupitisha utaratibu wa kulipia kodi kila harusi itakayo adhimishwa.,,,,
eti imekaaje hiYo,,,,,. mi nahisi adi HEAD TAX itarudishwa.
jioni njema.
 
Back
Top Bottom