Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,150
- 137,132
HATUKATAI KULIPA KODI... Ila tupewe na hesabu zote za matumizi ya kodi zetu...
Hapo hupati ng'o!
HATUKATAI KULIPA KODI... Ila tupewe na hesabu zote za matumizi ya kodi zetu...
Harusi za Hao walevi zinakera Sana, 250,000/=per head? Zawadi ya Kamati 1,000,000/= out-of 200 people. ?Serikali imekosa mwelekeo na vyanzo vya makato hadi wameona wakate kodi kwenye harusi?
kama umelisoma hilo gazeti naomba utufafanulie,kodi watakata kwenye mahari,michango ya sherehe,send off au kitchen party?dadavua kidogoNimeona habari hii kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la jambo Leo. Kama itakuwa 18% nadhani itabadilisha sasa hizi harusi watu watafanya tu simplest ndoa kukwepa kodi na mifuko itasalimia sasa kulipia harusi
![]()
ila had majeneza walisema watakata kodi sijui waliweza, ila sasa wataleta kukata na rambi rambi kodi
Kila kitu ndio Mzee, natamani nikuoneWewe ndo umepoteza mwelekeo wa kufikiri,ndo michango hadi sh elfu 50,na mtu anaandaa ndoa ya 60mls,ni sawa?
Ndo tunaelekea huko! Wataangalia umekusanya ngapi halafu toa chaohaaa haaaa umeonaee
Serikali imekosa mwelekeo na vyanzo vya makato hadi wameona wakate kodi kwenye harusi?
Ndo mwisho wa uwezo wa kufikiribwa serikali hii ulipofika, eti ndo vyanzo vipya vya mapato kuiwndesha nchi! Badala ya kufocus kwenye secta za madini, gesi, kilimo, uvuvi, bandar etc wanafocus kuumiza watu kwa vikodi vya hovyo hovyo
Safi sana...hii iwe njia ya ku discourage matumizi mabaya ya fedha...
Maana wangewaambia marufuku masherehe mngekuja juu...
Ni kulipa kodi tu bhaaas...
Magufuri usipokaa ukaandaa mkakati wa kutumia rasimali za nchi kama madini, gas, utalii, ardhi kwa kilomo na ufugaji, uvuvi na miundo mbinu km bandari utapiga sana kelele na walipa kodi, nchii hii inawananchi maskini ambao ata watoe mali zao zote huwezi kuendesha nchi.
Cha msingi ebu jitafakari mapema jinsi ya kutumia rasilimali mhimu tajwa hapo juu.
Alafu kuna mabwege wanasema haya ndio maisha bora....Hapo hupati ng'o!