Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

Mke mwema hupewa na mungu,huyo wa kwanza nadhani lilikuwa chaguo la shetani,haraka sana tangaza ndoa na chaguo la mungu kabla shetani hajaharibu mipango yako!!!
 
Kosea vitu vingine ika usiksee kuoa, nipo chuo sasa hivi nimemuacha mke na watoto nyumbani ni majuzi tu nilikuwa likizo nikamkuta wife kichwani nywele hamna, kanambia gharama ya kutunza nywele kwa kipindi hiki hawezi.........TAFAKARI!
 
umenikumbusha mbali sana. nilimwachaga moenz wang niliekua nampenda hadi kesho kwa sababu km hizhiz. go ahed oa huyo aookusaidia hata alie machoz ya dam ucthubutu. km pesa alitaka kununua gar vip kuhusu kuja hosptali nini kilimkwamisha??? mwambie akaolewe na gari!!!! nyambaf!!!!!
 
Pole kaka
Usichukue maamuzi ya kubadili mke kwa hasira itakugharimu baadae sikushauri kuoa yeyote kati ya hao muombe bwana Mungu wako akupe hekima kwa jambo hili
 
Mwenyezi Mungu amekupa kipimo na maoono kama humuamini Mwenyezi Mungu wako basi jifanyie experiment ya kumpa second chance utengeneze muda wa kuja kujuta.
Ndoa ni kwa shida na raha na wakati wa uchumba mapenzi ndo huwa motomoto ye ameshindwa hata ya kuigiza.
Pia kumbuka huwa tunaoa hao watu tukiwa tunawazidi umri na vilevile kazini huwa tuna staafu mapema kabla yao..sasa karata sikisoma vibaya na ukastaafu mambo hayakujipanga poa pengine kwa kusababishiwa nabinafsi huyo....no salary no love = kifo mapema
 
mkuu kuna mengi sana ya kujifunzaa baada ya kukosea, naamini uyo mchumba wako wa kwanza yuko katika mateso na maumivu makari, anajua namna gani anaeenda kuaibika na kuwaaibisha wazazi wake na ndugu zake, amekwisha umia sana na atakua amekujua wewe ni mtu wa namna gani, na imani yangu ni kua amejifunza mengi sana, ni advantage kwako sasa, fanya kusogeza harusi mbele lakini muoe yule wa kwanza, huyu wa pili mfanyie kitu kikubwa as zawadi kuonesha ni mtu muhimu kwako kiasi gani, atakua na peace of mind tu, epusha laana zisizo na maana kila kitu kina happen for a reason na kila kitu kinacho cha kujifunza na kubadilisha....... adios amigo

you can change the woman but you cant change the destiny of the woman, namshauri apige chini asije kujuta siku moja!
 
Mungu amekupa jicho la tatu,
Usipoona anachokusudia ukione,
Utakiona wakati huna uwezo nacho kimaamuzi!
 
ni bora ukosee kujenga nyumba kuliko kuoa
vitu muhimu saana katika mahusano/mapenzi mie huwa natazama haya
1. give and take ....je mwenzangu anaitolea kwangu kama mimi inavyojiolea kwake? muda ,pesa,sympasy nk
2.PR...... mahusiano yake na watu wanao nizunguka mimi yaani jamaa zangu na ndugu zangu
3. kauliyake kuhusu mahusianoyetu,,,,,,,,mimi ,mimi mimi zikiwa mingi huyo sio kabisa
 
Wakuu habari za mida,

Mimi ni mfanyakazi wa benki moja ya kigeni sitaji jina, nipo hapa kwa muda mrefu sasa. Nimekuwa na uhusiano na msichana hapa kazini ambae wakati amejiariwa nilikabidhiwa kazi ya kum-train hadi ajue.

In the process of training heri tukajikuta tumekuwa wapenzi, hatimaye wachumba na baadae mipango ya ndoa ikaanza total time ya mapenzi ni miaka miwili.

Juzi kati nilipokea simu kutoka kijijini kuwa mama mgonjwa sana figo inamsumbua akapelekwa hospitali ya mkoa wakampa rufaa aje Muhimbili haraka, nami nilikuwa na laki tatu tu kwenye akaunti yangu maana nilitoka kununua plot milioni
10 siku chache nyuma hivyo nikawa sina kitu kabisa.

Nikatuma hiyo laki tatu aje kwa ndege mengine nitajua akifika. Pale Muhimbili ilitakiwa ifanyike dialysis na then operation kama sikosei, kutokana na uchelewaji wa huduma na mambo kutoeleweka huku mama akiwa na hali mbaya, hivyo tukashauriana tumhamishie Aga Khan.

Tulipofika Aga Khan tuliambiwa gharama nzima ni 1.5 milion na ni lazima utangulize million moja ndio anakuwa admited wakati huo mama alipumzishwa casualty wakisubiri malipo, nikaondoka nikarudi ofisini ili nika raise hiyo pesa nilitake risk hiyo kwa kuwa nilijua pale kazini piga ua siwezi kosa hiyo hela hata kwa kukopa.

Kazini nikaamua nianze na mchumba wangu badala ya kuhangaika na watu wengine kwanza nikachungulia akaunti yake maana nina access hiyo, nikakuta ana 4.2 million na bahati nzuri anaijua ishu yenyewe nikamueleza direct suala pesa, ahadi yangu ni kuzirudisha ndani ya wiki mshahara ukitoka.

Sikuamini masikio yangu aliponijibu kuwa hana hata senti kwenye akaunti kwamba hata nikitaka tuangalie wote nikasema poa nikamuona dada mmoja ambae tupo karibu na ni friends siku nyingi akanipa million mbili.

Mama akatibiwa after two weeks akatoka, mchumba akawa busy na kazi hakufika hospitali isipokua siku mama anaruhusiwa haya yote yanaendelea tukiwa kwenye vikao vya harusi yangu na huyo mchumba.

Harusi ni mwezi Juni tarehe sitataja, wakuu kuna mke hapo? Baada ya mwezi mama akawa vizuri anaendelea na kliniki tu hela ya watu nilirudisha siku nyingi.

Nimekaa nimetafakari sana kuhusu mchumba wangu na nataka ku reverse uamuzi wa kumuoa kwa kuwa ni selfish alikuwa tayari kuona mzazi wangu anakufa na pesa anazo na amekiri kuwa hakuwa na sababu yoyote zaidi ya kusave ili anunue Gari.

Nikiri tu kwamba nilipoenda kumshukuru dada alienikopesha pesa niliguswa sana na utu na upendo alionionesha na tuliongea mengi na nilimuuliza kama inawezekana nikasogeza tarehe ya harusi mbele tuseme July au August then nimuoe yeye maana naijua tabia yake nzuri kwa miaka sasa.

Nipo kwenye crisis: Mchumba analia anaomba msamaha nisibadilishe mawazo mshenga amenipa go ahead mama sijamwambia haya yote, mahari sina shida nayo naweza waachia.

Mimi nimekatishwa tamaa sana na hii tabia kwa kuwa nimemsaidia mambo mengi sana yahusüyo pesa na familia yake kwa ujumla ndio maana hata mshahara wake unakua hauna kazi, bibi harusi mpya alikuwa akija Hospitali na nyumbani kumuona mgonjwa daily wakati yule mwingine hadi nimpigie simu. Nipo njia panda
.

Wakuu ushauri

Hii mijitu imelaaniwa hata huyo mwingine anayake mengine tena balaa zaidi fumba macho omba sana. Kuwa na Mungu karibu
 
Mkuu kwanza pole sana kwa huu mkasa, kwa hii issue yako wala haiitaji ushauri hapa.ni kwamba HAFAI kwa herufi kubwa,tena mshukuru Mungu kwa kukuonyesha mapema rangi halisi ya huyo Dada. Husije juta baadae mkuu
 
aise mkuu kweli uko njia panda maana nianzie wapi kukupa ushauri

cha kufanya umeshajua undani wa huyo mchumba wa zamani yukoje tabia yake
ni mwanamke ambaye hapendi nduguzo anajijali yeye nashida zake
cha kufanya wewe ongea naye kuwa ulikereka na tabia yake ya mwanzo
na vilevile hukupenda alivyofanya halafu mwambie uamuzi wako mpya wa sasa
ukoje juu yake

halafu nenda kwa huyo wa mchumba wa piili mshukuru sana kwani bila yeye
mama asingekuwepo ni kama Mungu alimtumia hyo dada kuponya uhai wa mama yako
mwambie umefurahishwa na tabia yake na anza kutangaza NIA kwake ya kuwa naye
kwani ana moyo wa upendo na kujali wengine hakujijali yeye alionesha utu wake

N.B:
CHA MWISHO NAOMBA TENDA YA KUWA MC WA HARUISI YAKO NA KUKUTENGENEZEA
KADI ZA MWALIKO WA HARUSI NA KEKI PIA MKUU USINITOSE BESTITO MWENZIO

Noted mkuu
 
Ndugu mc ondoa shaka ombi lako litazingatiwa ingawa mc alikuwepo tayari
 
Wakuu habari za mida,

Mimi ni mfanyakazi wa benki moja ya kigeni sitaji jina, nipo hapa kwa muda mrefu sasa. Nimekuwa na uhusiano na msichana hapa kazini ambae wakati amejiariwa nilikabidhiwa kazi ya kum-train hadi ajue.

In the process of training heri tukajikuta tumekuwa wapenzi, hatimaye wachumba na baadae mipango ya ndoa ikaanza total time ya mapenzi ni miaka miwili.

Juzi kati nilipokea simu kutoka kijijini kuwa mama mgonjwa sana figo inamsumbua akapelekwa hospitali ya mkoa wakampa rufaa aje Muhimbili haraka, nami nilikuwa na laki tatu tu kwenye akaunti yangu maana nilitoka kununua plot milioni
10 siku chache nyuma hivyo nikawa sina kitu kabisa.

Nikatuma hiyo laki tatu aje kwa ndege mengine nitajua akifika. Pale Muhimbili ilitakiwa ifanyike dialysis na then operation kama sikosei, kutokana na uchelewaji wa huduma na mambo kutoeleweka huku mama akiwa na hali mbaya, hivyo tukashauriana tumhamishie Aga Khan.

Tulipofika Aga Khan tuliambiwa gharama nzima ni 1.5 milion na ni lazima utangulize million moja ndio anakuwa admited wakati huo mama alipumzishwa casualty wakisubiri malipo, nikaondoka nikarudi ofisini ili nika raise hiyo pesa nilitake risk hiyo kwa kuwa nilijua pale kazini piga ua siwezi kosa hiyo hela hata kwa kukopa.

Kazini nikaamua nianze na mchumba wangu badala ya kuhangaika na watu wengine kwanza nikachungulia akaunti yake maana nina access hiyo, nikakuta ana 4.2 million na bahati nzuri anaijua ishu yenyewe nikamueleza direct suala pesa, ahadi yangu ni kuzirudisha ndani ya wiki mshahara ukitoka.

Sikuamini masikio yangu aliponijibu kuwa hana hata senti kwenye akaunti kwamba hata nikitaka tuangalie wote nikasema poa nikamuona dada mmoja ambae tupo karibu na ni friends siku nyingi akanipa million mbili.

Mama akatibiwa after two weeks akatoka, mchumba akawa busy na kazi hakufika hospitali isipokua siku mama anaruhusiwa haya yote yanaendelea tukiwa kwenye vikao vya harusi yangu na huyo mchumba.

Harusi ni mwezi Juni tarehe sitataja, wakuu kuna mke hapo? Baada ya mwezi mama akawa vizuri anaendelea na kliniki tu hela ya watu nilirudisha siku nyingi.

Nimekaa nimetafakari sana kuhusu mchumba wangu na nataka ku reverse uamuzi wa kumuoa kwa kuwa ni selfish alikuwa tayari kuona mzazi wangu anakufa na pesa anazo na amekiri kuwa hakuwa na sababu yoyote zaidi ya kusave ili anunue Gari.

Nikiri tu kwamba nilipoenda kumshukuru dada alienikopesha pesa niliguswa sana na utu na upendo alionionesha na tuliongea mengi na nilimuuliza kama inawezekana nikasogeza tarehe ya harusi mbele tuseme July au August then nimuoe yeye maana naijua tabia yake nzuri kwa miaka sasa.

Nipo kwenye crisis: Mchumba analia anaomba msamaha nisibadilishe mawazo mshenga amenipa go ahead mama sijamwambia haya yote, mahari sina shida nayo naweza waachia.

Mimi nimekatishwa tamaa sana na hii tabia kwa kuwa nimemsaidia mambo mengi sana yahusüyo pesa na familia yake kwa ujumla ndio maana hata mshahara wake unakua hauna kazi, bibi harusi mpya alikuwa akija Hospitali na nyumbani kumuona mgonjwa daily wakati yule mwingine hadi nimpigie simu. Nipo njia panda
.

Wakuu ushauri

machozi yamenitoka baada ya kumaliza kusoma hii habari, hakuna namna yeyote ya kumsamehe huyo mwanamke!
 
Pole saba kaka. Yapo mambo machache ambayo huwa najifunzaga sana kwenye story za aina hii. Kwanza kama, mchumba ulempata hakufai kuna vitu flani flani tu vitatokea na kama utaviangalia kwa makini vitakupa sababu ya kujiongeza. Kwa story hii ndugu yangu, kuna hatari kwamba ukioa huyu binti, badala ya wazazi wako kufurahia kwamba wamepata binti, watahuzunika badae kujikuta wamepoteza kijana wao. She has fell far below the standards. And kama unataka straight advice isiyokuwa diluted nakushauri achana nae. Do what is right because it's the right thing to do it regardless of the consequences.
 
Mpe muda endelea kumchunguza ila si kumwacha yawezekana malezi aliyopata ni tofauti maana na yeye anaweza kuwa anajua umetaka pesa zake kisa mchumba! Tusichunguzane kupitia pesa kwani vigezo vilivyofanya umpende sidhani kama ni pesa! Sofeza mbele tarehe huku ukimchunguza!
 
Back
Top Bottom