Harufu zinazokera

Wahindi ndio najua kuna mda manukato yao yananuka kwa sababu wanatumia sandalwood , Inasemekana mda mwingine yanakaribisha chawa , ila kwa usafi waarabu wapo vizuri
Sandalwood inanuka?
Mbona nimetumia sana sabuni za sandalwood naona ziko poa!
 
Sandalwood inanuka?
Mbona nimetumia sana sabuni za sandalwood naona ziko poa!
Hiko kiambata nimekitumia ila baada ya mda naona kama harufu yake inanuka , sina uhakika ila sikipendelei
 
Alafu Kuna marashi flani wanawake WA kiiislam wanapenda kupaka akipaka hayo ata ukimtuma maji KWENYE glass yote ukianza kunywa ni harufu TU ya marashi MPAKA kero
Yeah wanawake wa kiislamu hasa wavaa majuba wanapenda kujifusha sana udi na marashi makali.
Binafsi nikikaa nae hata dakika kumi, lazma kichwa kiniume kwa hiyo nikikutana nae lazma niondoke hilo eneo. Na kama ni mtu wa karibu lazma anajua kuwa sipendi marashi makali haswa yenye harufu inayofanana na udi ama ubani
 
Bado Kuna wale wanaovaa raba zinavunda,Kuna wenye majasho nadhani hawaogi week nzima na hili joto la dar😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…