Harufu zinazokera

Hapo kwa warangi umepatia mkuu. Mama zangu wanajua kuoga wale hatari! Yaani anajisafisha mpaka anahakikisha hatoki na kasoro kichwani mpaka miguuni! Ulogwe uvae malapa yake, mweeeh ukirudisha yaoshe! Warangi kwa usafi wa mwili wapewe maua yao aiseee!
 
Ni wasafi mno wengi wao , kumbe una ndugu wa kirangi 😅 bora umekazia nilishaanza kupingwa😅
 
Anayebisha hajaishi nao. Ni wasafi sana kwakweli. Ukikutana na mdada wa kirangi mchafu ujue huyo hajakulia kwao au hajalelewa na mama mrangi aliyekulia urangini.
Nauli bei gani.. Wadada wasafi wana nafasi yao mbunguni.. Hawachoshi unaweza kutoweza tonge kwenye kibumunda chake
 
Wanaonuka midomo WENGI Huwa wanakula sana protein au waloshimda njaa.

AISE mkuu papuchi inanuka baana MTU kavaa vizuri suruali yake kajipodoa Kwa basi umekaa nae ikifika saa 7 mpaka10 aiseh, combination ya jasho na harufu mbaya.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo kwa warangi umepatia mkuu. Mama zangu wanajua kuoga wale hatari! Yaani anajisafisha mpaka anahakikisha hatoki na kasoro kichwani mpaka miguuni! Ulogwe uvae malapa yake, mweeeh ukirudisha yaoshe! Warangi kwa usafi wa mwili wapewe maua yao aiseee!
Haswaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…