Harufu ya ubwabwa porini

Harufu ya ubwabwa porini

Haha hivi mkuu hii ni myth au ukweli ?? Kicheche anaitwaje kwa kingereza tu mgoogle hapa tujue tabia zake
Ngoja tum google, huenda wazee wetu walikuwa wanatupiga fix sana.

Nimeona hii moja ya kutoa harufu ni kweli ... skunk-like African carnivore of the weasel family that emits foul-smelling liquid from anal glands.
 
Habari za jumapili wana JF.
Bila kupoteza muda wadau naomba kuuliza,Je ile harufu ya wali (wali nazi) ambayo tunaisikia tukiwa porini au msituni tena sehemu ambayo haina makazi ya watu inatokana na nini?
Cc. mshana jr
Mimi nimewahi kuona nyoka mkubwa chatu,bonge la mto Rukwa. Alikuwa anidake kilichonisaidia ni mto,yeye alikuwa upande wa pili wa mto,mto haukua mkubwa ula maji yalimzuia kunifuata. Harufu inaweza isiwe ya ubwabwa pia inaweza kuwa harufu ya nyama kama buchani.
Ile picha sitokuja isahau maishani.
 
Duh!
 
Mimi nilisikia kuwa ukiona hivyo ujue kuna nyoka mkubwa anajivua gamba.
Hasa wa kijani
1456115380411.jpg
 
Habari za jumapili wana JF.
Bila kupoteza muda wadau naomba kuuliza,Je ile harufu ya wali (wali nazi) ambayo tunaisikia tukiwa porini au msituni tena sehemu ambayo haina makazi ya watu inatokana na nini?
Cc. mshana jr
"Ungepeleka sahani upakuliwe share yako"
 
Back
Top Bottom