Habari za jumapili wana JF.
Bila kupoteza muda wadau naomba kuuliza,Je ile harufu ya wali (wali nazi) ambayo tunaisikia tukiwa porini au msituni tena sehemu ambayo haina makazi ya watu inatokana na nini?
Cc. mshana jr

Kuna harufu ya majangili hapo huenda wanajipikia ubwabwa.
Hehehehe watu na id zaoVipi tena mkuu hapo ID´s ,umejichanganya!
Hehehehe watu na id zao
naona unathibitisha kuhudhulia mikutano ya chama chenu. chama cha magamba.Hilo la nyoka kufungua mdomo itakuwa kamba tu maanake nimewahi kuhudhuria maonesho yanayohusu nyoka mara kadhaa hasa chatu na walikuwa wanapiga miayo lakini hiyo harufu ya beche haikuwa ikinukia.
Yawezekana ni utomvu wa miti au maua tu.
Mkuu sasa si uende nalo bakuli kabisa ukapakue uko misituni ujue mwisho wakeHabari za jumapili wana JF.
Bila kupoteza muda wadau naomba kuuliza,Je ile harufu ya wali (wali nazi) ambayo tunaisikia tukiwa porini au msituni tena sehemu ambayo haina makazi ya watu inatokana na nini?
Cc. mshana jr
Migombani? Basi wewe ulikuwa unasikia harufu ya homeAta,mie wakati niko bukoba vijijini,wakati napita migomboni iyo harufu nilikuwa nainusa sana
we kweli chimunguruNdo maana mbwa akimuona chatu anajipeleka mwenyewe. Inawezekana pale haoni nyoka anaona sinia la ubeche wa nazi kachumbari na coke bariiidiii
Haaa!!!haaa!!!,.....Mkuu Me sitakimbia nitaifuata harufu ya wali nikiwa na ndizi, pilipili na pepsi ya baridi.
Ndio maana mbwa huwa wanajipeleka kwa chatuUdogoni niliambiwa ukisikia hvo ujue kuna chatu karibu.
Mkuu hivi Thai Jasmine dah my favourite rice inapatikana wapi kwa huku Lukwa?Mkuu ukiwa porini ukanusa harufu ya ubwabwa tena ule unanukia kama Thai Jasmine am a Basmati timua mbio hapo kuna bonge la joka. Siyo uwongo hii ni kweli ila nadhan ni kuhusu nyoka alivyoumbwa kibailojia