Harufu ya ubwabwa porini

Harufu ya ubwabwa porini

Sasa hivi kuna harufu za viazi vitamu vya kuchoma sijui nayo ni nini? Nipo porini sana sema kuna tambarare pana na baadhi ya mito nasubiri nijue ni kitu gani hiki hii harufu inakolea mno majira ya saa mbili usiku
Nyoka huyo mkuu
 
Mbwa wetu wameliwa sana juu ya harufu hio kunmbwa wetu wa mwisho alikua anaitwa pijo yeye kaliwa na mimba yake
 
Habari za jumapili wana JF.

Bila kupoteza muda wadau naomba kuuliza, Je ile harufu ya wali (wali nazi) ambayo tunaisikia tukiwa porini au msituni tena sehemu ambayo haina makazi ya watu inatokana na nini?

Cc. mshana jr
Mk
Habari za jumapili wana JF.

Bila kupoteza muda wadau naomba kuuliza, Je ile harufu ya wali (wali nazi) ambayo tunaisikia tukiwa porini au msituni tena sehemu ambayo haina makazi ya watu inatokana na nini?

Cc. mshana jr
Mkuu Ni harufu ya joka kuu hiyo
Kuna siku nilikuwa Kijiji kimoja kinaitwa mlembule huko wilaya ya Mpwapwa nikaamua kutembelea mabondeni wanapolima vitunguu nikiwa na mweji wangu GHAFLA nikasikia harufu ya pilau hakika Ni harufu ya pilau Safi ya kipemba nikamuuliza mwenyeji MBONA Kuna harufu ya pilau je Kuna mgahawa porini? Kabla hajajibu KARIBU ya kichaka Cha migomba niliona JI JOKA ambalo sikuwahi kuliona kabla nilifunga mdomo na kuanza KURUDI kinyumenyume Hadi kwa mwenyeji na kumuonesha kwa kidole NAMSHUKURU MUNGU LILE DUBWASHA HALIKUTU DHURU. lakini HUWA SI NGOMA YA KITOTO
 
Mkuu ukiwa porini ukanusa harufu ya ubwabwa tena ule unanukia kama Thai Jasmine ama Basmati timua mbio hapo kuna bonge la joka. Siyo uwongo hii ni kweli ila nadhan ni kuhusu nyoka alivyoumbwa kibailojia
Cc adriz
 
Back
Top Bottom