simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,699
- 9,591
Fursa nzuri ya utafiti. Mfano ikigundulika ni mmea ndio unatoa harafu hii basi kupitia biotechnology kiini cha mmea kinaweza kupandikizwa kwenye mpunga konogesha ladha na harufu.
Mimi niliambiwa ukisikia hivyo ujue shetan anapikaMkuu ukiwa porini ukanusa harufu ya ubwabwa tena ule unanukia kama Thai Jasmine am a Basmati timua mbio hapo kuna bonge la joka. Siyo uwongo hii ni kweli ila nadhan ni kuhusu nyoka alivyoumbwa kibailojia
nitakuinbox kaka usijalinatamani nijue huko wapi
We umekulia masaki mambo haya utayajuaje!
Habari za jumapili wana JF.
Bila kupoteza muda wadau naomba kuuliza,Je ile harufu ya wali (wali nazi) ambayo tunaisikia tukiwa porini au msituni tena sehemu ambayo haina makazi ya watu inatokana na nini?
Cc. mshana jr[/QUOTE
Hiyo ni pilau pori mkuu,itakuwa wanyamapori wanasherehekea fungate ya mwenzao!