Harufu ya ubwabwa porini

Harufu ya ubwabwa porini

Ni kweli ni nyoka huwa anatoa harufu hiyo au nyingine nyekuvutia akiwa kwenye mawindo ya kutafuta chakula na hasa chatu ndio mwenye sifa hiyo kwa kuna baadhi ya wanyama hufuata hiyo harufu ndio hapo anawadaka ila hii harufu ya ndio watu tumeikariri sana pia hutoa harufu ya beberu kama kuna mbuzi akiifuata anamdaka.
Chatu ana mbinu nyingi sana, sometime analia kama mbuzi, utasikia "meee" "meee" wewe unajipeleka kumkamata mbuzi kumbe unajipeleka mdomoni mwa chatu.
 
Je, ilithibitishwa ki sayansi kwamba chatu ana uwezo wa kutoa harufu ya wali na vyakula vingine au kila mtu tu aliambiwa, kama mnavyoandika hapa?
Naomba maarifa zaidi
 
Hilo la nyoka kufungua mdomo itakuwa kamba tu maanake nimewahi kuhudhuria maonesho yanayohusu nyoka mara kadhaa hasa chatu na walikuwa wanapiga miayo lakini hiyo harufu ya beche haikuwa ikinukia.

Yawezekana ni utomvu wa miti au maua tu.
 
wote nie mko wrong-hii harufu ni ya mnyama mdogo sikuumbuki vizuri ni yupi either kicheche au komba akikojoa-mkojo uwa na harufu ya wali
 
wote nie mko wrong-hii harufu ni ya mnyama mdogo sikuumbuki vizuri ni yupi either kicheche au komba akikojoa-mkojo uwa na harufu ya wali

Komba ni kiswahili au kingoni? Anaitwaje kwa kimombo?
 
Nyoka huwa wanajitoa ngozi( molting) kitendo hiki hukifanya kwa siri( kujificha ) ili asije dhuriwa na maadui zake ..pindi anapokuwa kwenye hiyo process ndio hutoa hiyo harufu kwa ajili ya kujilinda
 
Kama wewe ulizaliwa mjini ukakulia mjini huu utakupa fundisho!

Ni kweli kwamba ukisikia hiyo Harufu kuna nyoka mkubwa, mara nyingi nikiwa porini kuchunga nimekutana nayo mara nyingi japo sijamshuhudia huyo nyoka
 
Back
Top Bottom