Nikatika ukumbi wa naura spring arusha wakizindua mpango wao wa M4C(Movement For Change) ambapo kauli mbali mbali zilitolewa na viongozi wa ngazi za juu wa chadema akiwemo katibu mkuu Dr. Slaa pale aliposema safari hii maneno basi mambo ya kusubiri kupelekana mahakamani No more As Bora Kuchimbike ........... Uku m1 wa waasi wa chama akisema kama ni pesa yeye yuko nazo nyingi sana ndani na nje ya nchi wala hamuogipi m2 kwasababu ni za halali .......
Je wewe mwana wa nchi hii unajifunza nini kutoka na hizo kauli za viongozi hao