Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

Kuchangia chadema ni kumkataa adui mkubwa ujinga,ni mchakato wenye tija na malipo yake ni endelevu....nimeikubali na nitachangia.......peoples......poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!!!!!!!
 
Kama nimesikia kwenye mitandao watu wamechanga tshs 8M tu! Duh watu kwenye viboard vp jamani...nini mchango wako?mimi nimechanga wewe je?
 
Kwa mwendo huu wa CDM mkulu anaweza akapata stress na kupiga mwereka mazee!!

Hili liko wazi kwa 98%

Na hata wale watumwa wao humu jamvini watatoweka mmoja baada ya mwingine!

Huu msako si wa kuwabakiza mafisadi Tanzania yetu ya ASALI NA MAZIWA!
Kudadek!!
 
Hakika haijapata kutokea.Na umri wangu nilio nao sijawahi shuhudia kilichofanywa na CDM leo.Halafu wanatokea Manyang'au wanawabeza majabali Mbowe na Slaa.Narudia kusema kwamba namuomba Mungu wangu anipe maisha marefu nimshuhudie Dr Slaa akiapishwa kuwa Rais mwaka 2015.Baada ya hapo Roho yangu inaweza kwenda kwa amani.
 
Harakati za kuleta uchumi mikononi mwa wananchi ulitangazwa Arusha 1967 thru Azimio la Arusha. Mwaka 1991 CCM, baada ya kushindwa kusimamia hilo, wakalichinjia Azimio la Arusha baharini kule Zanzibar!
Dk Slaa kasema M4C inalenga kurejesha raslimali za nchi kwa wananchi, na hili Movement for Change (M4C) linafufukia hapohapo Arusha.
 
]Alhaji Jafari kakabidhi Million moja kwa niaba ya tawi fulani kutoka Moshi.
Nasubiri propaganda za magamba

hapo kwenye read unataka kutuhadaa tuseme ni mwislam? kwa taarifa yako ni mlokole huyo anaitwa michael
 
Harakati za kuleta uchumi mikononi mwa wananchi ulitangazwa Arusha 1967 thru Azimio la Arusha. Mwaka 1991 CCM, baada ya kushindwa kusimamia hilo, wakalichinjia Azimio la Arusha baharini kule Zanzibar!
Dk Slaa kasema M4C inalenga kurejesha raslimali za nchi kwa wananchi, na hili Movement for Change (M4C) linafufukia hapohapo Arusha.

Hakika haijapata kutokea.Na umri wangu nilio nao sijawahi shuhudia kilichofanywa na CDM leo.Halafu wanatokea Manyang'au wanawabeza majabali Mbowe na Slaa.Narudia kusema kwamba namuomba Mungu wangu anipe maisha marefu nimshuhudie Dr Slaa akiapishwa kuwa Rais mwaka 2015.Baada ya hapo Roho yangu inaweza kwenda kwa amani.
 
Mimi na wasiwasi Magamba hawatatuma kweli majambazi kuja kuvamia nakusepa na huo mkwanja!!Chadema iwe makini kwenye hili.
 
Hakika haijapata kutokea.Na umri wangu nilio nao sijawahi shuhudia kilichofanywa na CDM leo.Halafu wanatokea Manyang'au wanawabeza majabali Mbowe na Slaa.Narudia kusema kwamba namuomba Mungu wangu anipe maisha marefu nimshuhudie Dr Slaa akiapishwa kuwa Rais mwaka 2015.Baada ya hapo Roho yangu inaweza kwenda kwa amani.
Amen ameni
 
Ajabu haijapata kutokea!CDM imezindua mpango wa kuendeshwa kwa nguvu ya umma huku ikirusha live na star tv.
Juma ya hela zilizopatikana cash kwa wale waliokuwa tayari kutangwa live ni zaidi ya millioni 200. Majumuisho yakifanyika usishangae ikawa mabilioni kwa watu wamekua wanatuma cheki na kuchanga kupitia M-PESA,TIGO PESA,AIR TEL PESA NK.
Katika hali ya kutatanisha TANESCO walikata umeme wakati kipindi kinarushwa katika jiji la Arusha.GENERATOR LATUMIKA KURUSHA MATANGAZO.

Source Star TV

aiseeeee.......ccm wanatanga tanga mno
 
Nimefika nyumbani saa 3.00 nikitokea Nairobi kumwona Kijana wa ndugu yanga alipata ajali ya gari, pamoja na kumwona daktari wangu. Sitaweza kufika ukumbini, lakini nachangia Shilingi Milioni Nne.

Mungu akubariki Mzee Mtei.Ni mamilioni yamechangwa leo na Watanzania
 
Nimefika nyumbani saa 3.00 usiku huu, nikitokea Nairobi kumwona Kijana wa ndugu yangu aliyepata ajali ya gari, pamoja na kumwona daktari wangu. Sitaweza kufika ukumbini, lakini kama Muasisi wa Chadema nachangia Shilingi Milioni Nne.
pole kwa kuuguliwa..
 
Kusema hawa jamaa baadhi yetu tunakosea,cdm ni ukomboz mpya wa nchi hii,wenye busara hatunabudi kuiunga mkono chama hiki,asante za ccm za pombe,kapelo na t shirt haztatusaidia.arumeru fungueni njia
 
Back
Top Bottom