Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,085
Kama mkitaka atawachangia tu..uliza kikwete kachanga kiasi gani...
Kama kaweza kuwakaribisha breakfast, lunch na juice atashindwa kuwachangia? This time hamtaki tena juice?
Kama mkitaka atawachangia tu..uliza kikwete kachanga kiasi gani...
Mkapa ni janga la Taifa, JK asipoangalia atajikuta anasimama ICC kwa ajili ya Mkapa.
Ijulikane kuwa Mkapa anahaha ili kujinusuru kulipia ufisadi aliotufanyia. Mkapa apende asipende mzimu wa ufisadi wake utamfuata tu, hata kama atakuwa amekufa atakutana nao kwa Mungu.
Chamuhimu ni kuwa on top tu! CCM juuuu...Unamlinganisha waberoya na rejao?nafikiri waberoya ana misimamo yake binafsi isiyofanana na misimamo njaa ya rejao
Kama anaweza kuchangia bilioni moja wanapitisha bakuli la nini wakati kwenye kampeni zao gharama huwa hazizidi mi.6
Kama mkitaka atawachangia tu..
Kama kaweza kuwakaribisha breakfast, lunch na juice atashindwa kuwachangia? This time hamtaki tena juice?
Kweli mpesa inagoma nahangaika hapa bila mafanikio.
hongera una likes nyingi lakini sio za kuongea points, ni za pumba, ol the bestChamuhimu ni kuwa on top tu! CCM juuuu...
Mkitaka niwachangie hela ya kununulia leso za kufutia machozi baada ya kushindwa Arumeru nitafanya hivyo!
Ndesa Pesa anakwambia pesa kwake ipo sana sio ya kifisadi wala ya wizi. nipesa ya uhakika iko ndani na nje. kwa leo ametoa 20m.
Kama anaweza kuchangia bilioni moja wanapitisha bakuli la nini wakati kwenye kampeni zao gharama huwa hazizidi mi.6