Harakati za Pimbi

Huyu shori wake si alikuwa Betina, mama wa kulianzisha.

Hapana, yeye na vimbaumbau Betina mbalimbali, Zake heavy duties Zena and her Companies, ila kila dili lilikuwa linafail na hata kuambulia vipigo. Lilikuwa jarida mjarabu sana, kila mwisho WA mwezi, kulikuwa na mafunzo na tafsida ya vitu kuongelewa, tofauti na sasa tafsida ya Maneno imekuwa adimu
 
Alichezewa ndumba na zena.
lilikuwa gazeti zuri sana
Hivi wachoraji waliokuwepo enzi hizo wapo mpaka Leo?

hivi ni lini alkula papuchi huyu?
Kosa la pimbi lilikuwa nn?
Njomba Nchumali,Jua kali,Kipepe,Sokomoko,Lodilofa,
Pimbi migegedo yake ina buma
hivi aliwahi kweli kufanikiwa kugegeda?
Jamaa Walikuwa wana Tisha sana kwakweli
Siku hizi hawa watoto wa Instagram na Whatsapp kwa kutumiana video za amber rutty hawawezi kuelewa hizi na muona Profesa Ndumilakuwili
jinsi gani anavyotaka kutapeli
ila hizi katuni ziliburudisha , kuelimisha na kufurahisha.
sijasoma haya majarida mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…