Alichezewa ndumba na zena.Pimbi kila mpango wake na demu ulikuwa unabuma. Pimbi ni mfano halisi wa wanaume wa Dar es Salaam
lilikuwa gazeti zuri sana
Kama ndio hivyo madada zenu mabeki 3 wasingekua wanarudi na mimba mikoani.Pimbi kila mpango wake na demu ulikuwa unabuma. Pimbi ni mfano halisi wa wanaume wa Dar es Salaam
Mahouse girl mnawaonea maana hawana namna ya kuwakatalia. Na hiyo ni sex slavery 💯%Kama ndio hivyo madada zenu mabeki 3 wasingekua wanarudi na mimba mikoani.
Kosa la pimbi lilikuwa nn?Alichezewa ndumba na zena.
Huyu shori wake si alikuwa Betina, mama wa kulianzisha.Duuu lilikuwaga Bonge la jarida, na Mzee WA harakati anaishia maumivu tuu kila siku,
Huyu shori wake si alikuwa Betina, mama wa kulianzisha.
Alichezewa ndumba na zena.
lilikuwa gazeti zuri sana
Hivi wachoraji waliokuwepo enzi hizo wapo mpaka Leo?
hivi ni lini alkula papuchi huyu?
Kosa la pimbi lilikuwa nn?
Njomba Nchumali,Jua kali,Kipepe,Sokomoko,Lodilofa,
Pimbi migegedo yake ina buma
Hapana, yeye na vimbaumbau Betina mbalimbali, Zake heavy duties Zena and her Companies, ila kila dili lilikuwa linafail na hata kuambulia vipigo. Lilikuwa jarida mjarabu sana, kila mwisho WA mwezi, kulikuwa na mafunzo na tafsida ya vitu kuongelewa, tofauti na sasa tafsida ya Maneno imekuwa adimu
hivi aliwahi kweli kufanikiwa kugegeda?
Siku hizi hawa watoto wa Instagram na Whatsapp kwa kutumiana video za amber rutty hawawezi kuelewa hizi na muona Profesa Ndumilakuwili jinsi gani anavyotaka kutapeli ila hizi katuni ziliburudisha , kuelimisha na kufurahisha.Jamaa Walikuwa wana Tisha sana kwakweli
Hata hivyo ni wa Dasalaam!!!Pimbi kila mpango wake na demu ulikuwa unabuma. Pimbi ni mfano halisi wa wanaume wa Dar es Salaam
Yaani kula beki tatu nayo ni sifa ya uanaume kweli?Kama ndio hivyo madada zenu mabeki 3 wasingekua wanarudi na mimba mikoani.