Harakati za Pimbi

Pia kulikuwa na ligi ama mechi ngumu ya mpira wa miguu kuwahi kutokea duniani. Labda niiite "dabi" ya nyakati zote! walipokutana watani wa jadi "born town" na wazee wa kazi "bush starz" First eleven ntampasia mtu atutajie
 
1151709

Prof. Ndumila kuwili. Load lofa. kipepe. doctor love. mzee meko. mandawa. mwinyi mpeku. kifimbo cheza.
 
Attachments

  • 1562907379939.jpeg
    1562907379939.jpeg
    45.2 KB · Views: 19
Hivi ni wapi unaweza yapata yale majaBONGO na TABASAMU?. Yalikuwa ni majarida ambayo yalikuwa yakivutia sana. Ukizingatia enzi hizo smartphone hazipo. Watoto wakali tulikuwa tukiwaona kupitia ile front cover. Moja ya title ambazo sizisahau ni ile iliyosomeka HATA UKIOGA, HAUENDI MJINI.
 
Yapo sana ndugu mbona mi nilikuwa kila mwezi nanua vitabu nilikuwa naenda navyo school basi si kwa kuazimwa huko darasa zima hasa wasichana wanapenda.kuna sister wangu nilikuwa nampa ayahifadhi na unajua zama zile walikuwa pia wanakupa zawadi ukiwa na majarida angalau matano tu kuonesha umeyatunza.Sijui sasa bado anayo ila aliwahi kuniambia vitabu vyako vipo.
 
Yalikuwa burudani tosha aisee. Sio magazeti ya sasa haya.
 
Pimbi kila mpango wake na demu ulikuwa unabuma. Pimbi ni mfano halisi wa wanaume wa Dar es Salaam
Wavulana wa mikoani, mnajaribu kujitetea sana. Bila wanaume wa Dar usingekuwa Jf wewe pimbi wa mkonani wewe... huyu Mkurugenzi na founder wa Jf kasomea Dar kafanya mambo yake Dar
 
I was young those days but matured enough.

Nazikumbuka hizo katuni za comrade kipepe na visa vya madenge. Asante sana Original poster kwa kuniletea kumbukumbu hii karibu.
 
Back
Top Bottom