Unatesti barabara inayopita gari ilobeba matani kibao kwa kuchimba na sururu..??🙄

Ko akishindwa kubomoa ndo imekidhi viwango au🤔
 
hapo alitoboa wataziba kabla ya kuondoka?Mwenge umekua Chanzo cha uharibifu wa barabara hiyo
 
Ikumbukwe kwamba Makamu wa Rais , Mh Philipo Mpango hivi karibuni alizindua mbio za Mwenge huko Njombe , ambako ilisisitizwa kwamba ni lazima miradi itakayozinduliwa na Mwenge wa Uhuru iwe ni yenye ubora wa hali ya juu .

Hapa chini ni kiongozi wa mbio hizo za mwenge akitii maagizo ya Serikali kwa kuamua kupima ubora wa Barabara wakati mbio za Mwenge zikiendelea huko Njombe

Moja_ya_mambo_yanayofanya_Afrika_tuitwe_bara_la_giza_ni_kama_haya._Just_imagine_huyu_ni_kiongo...jpg
 
Ikumbukwe kwamba Makamu wa Rais , Mh Philipo Mpango hivi karibuni alizindua mbio za Mwenge huko Njombe , ambako ilisisitizwa kwamba ni lazima miradi itayozinduliwa na Mwenge wa Uhuru iwe ni yenye ubora wa hali ya juu .

Hapa chini ni kiongozi wa mbio hizo za mwenge akitii maagizo ya Serikali kwa kuamua kupima ubora wa Barabara wakati mbio za Mwenge zikiendelea huko Njombe

View attachment 2177899
Duh CCM Ina vichaa wengi sana ukimuacha mwendazake
 
Back
Top Bottom