Harakati za fao la kujitoa

Harakati za fao la kujitoa

Updates; Baadhi ya matawi mfano Kinondoni-PSSSF kuna utaratibu wamekuja nao unapewa 33% ya michango yako kwa mkupuo, hakuna ambaye ameshalipwa mpaka sasa isipokuwa watu wamejaza form na kuzirudisha.

Vituo vingine wanasema hawana mwongozo zaidi ya ule wa Fao la Kutokuwa na Ajira.

Tuendelee kusubiri.
 
77 zinazobaki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
77 zinazobaki?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna mfuko wanauita "voluntary contribution", sikumbuki vizuri, hizo 67% zinazobaki zinakuwa converted huko, ambapo wewe mwanachama unatakiwa uwe unapeleka kiasi chochote kila mwezi. Mpaka ufike 55, kutegemeana na flow ya michango yako utakuwa qualified kwa pension au mkupuo.

Usipopeleka chochote, utasubiri mpaka ufike 55 ndo upewe mzigo.
 
hahaha kumbe 67,nimetoa boko. Sawa boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hautaambiwa chukua fedha yako ila utakuwa umetoa somo na ujinga huu utakufa. Wewe unadhani mtu ajitoe muhanga atapanye ubongo wa hao watumishi mambo yatabaki the same? Wee! Itakuwa the talk of the town, nationally na internationally, sheria itabadilishwa in no time.
Mkuu, si ujitoe muhanga tu, mbona maneno mengi!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NSSF mbona wanatoa tena mpunga wako wote ili mradi uwe umeachishwa kazi au mkataba umeisha.
Ndugu zanguni Ngombe wa masikini hazai na akizaa anazaa dume. Nilikwenda mwenyewe nikaambiwa Mimi ni skilled labour kwa hiyo siwezi pewa pesa yangu yote, natakiwa nilipwe fao la kukosa ajira. Alichokisema Magufuli na kinachofanywa na NSSF ni vitu viwili tofauti kabisa. Hakuna matumaini tena chini ya hii serikali
 
Anza kulia kabisa this maza fakaz wanazingua

Sent using Jamii Forums mobile app

1548999334694.png
 
Mimi napatwa na hasira sana.
TUCTA wako wapi?mbona suala hili hawalizungumzii wala kulipa uzito wowote.Suala la malipo ya 25%walilupigia kelele sana mpaka wakafanikiwa lakini fao la kujitoa mbona kimya?
Naona hapa kuna ubaguzi mkubwa kutoka TUCTA na wanachama wake,kama kweli wangekuwa wanatetea matatizo ya wanachama basi fao la kujitoa bado lingekuwa agenda kubwa hivi sasa.

Mimi nasema bora nijitoe kwenye vyama vya wafanyakazi kwasababu sioni mchango wao wowote ilihali mchango wangu kika mwezi wanapata.Nasema najitoa kutoka vyama vya wafanyakazi.

#TUPENI_FAO_LETU
#HAKI_YETU_SIYO_HISANI
 
Back
Top Bottom