Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,334
Sasa ulitaka aongelee kila kitu A to Z? Kama binadamu mwenye akili unauwezo wa kung'amua mtazamo au makudio ya rais, sio mpaka kila kitu akiseme. Kwani hata hapo nyumbani kwako ukielekeza hupendi kitu flani au unataka kitu flani familia yako itashindwa kujiongeza kwa ujumla wake vitu usivyovipenda? Au itasubiri utaje kimoja kimoja mpaka vyote viishe? Acha hizo bhana.Vipi kuhusu wale ambao siyo wa hiyo miradi, walioamua kuacha kazi wenyewe?
Ulimsikia anawazungumzia?