Ni kweli ila inaonekana kajipanga maana kama alitoa maagizo kila mfuko uendelee na utaratibu wake wa zamani lakin wao wamekomaa na huu mpya si kudanganya wananchi hukuLet's reason together, there is a solution to every problem.
Karata yetu ya ushindi ni kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi.
Wewe bhana, unaongea kwa uoga sana. Kwani unadhani Magu hajui? Ina maana umehadithiwa kile alichokisema tarehe 28 Dec alipokutana na hao viongozi? Mbona aliongelea kabisa na akatoa hadi mifano. Sasa sijui kwa nini unaongea kwa kujifichaficha hivyo?Naamini hii issue ina watu wengi wameathirika, na siyo wote wako JF.
Tunatakiwa kudiscuss tufanyaje ili swala lifike kwa Magu? Maana ndiyo karata yetu.
Kwa kuanzia ifanyike kampeni kwenye mitandao yote ya kijamii ili kucreate awareness ya uwepo wa hyo petition, then legal procedures zifuateNaamini hii issue ina watu wengi wameathirika, na siyo wote wako JF.
Tunatakiwa kudiscuss tufanyaje ili swala lifike kwa Magu? Maana ndiyo karata yetu.
Kwa kuanzia ifanyike kampeni kwenye mitandao yote ya kijamii ili kucreate awareness ya uwepo wa hyo petition, then legal procedures zifuate
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mkuu hukumsikiliza rais siku ile? Kama ulimsikiliza mbona unajenga picha kana kwamba rais hajui kuhusu hili swala? Ongea kwa kujiamini bhana, acha kuongea kwa kujipendekeza.Nimejaribu kupitia posts zako za nyuma, ninachoweza kusema ni kwamba hili swala limekufika kooni.
Maana kuna posts kadhaa umepropose kitu hiki pia, you are frustrated.
Ni kweli ila inaonekana kajipanga maana kama alitoa maagizo kila mfuko uendelee na utaratibu wake wa zamani lakin wao wamekomaa na huu mpya si kudanganya wananchi huku
Alisema kwa sasa kila mfuko uendelee na utaratibu wake wa zamani hadi 2023Tatizo tunapishana uelewa, ile speech hakuna mahali Rais alilifanyia hitimisho swala la Fao la Kujitoa, isipokuwa yalikuwa mapendekezo kwamba waangalie namna ya kufanya.
Swala lililotolewa hitimisho ni kuhusu kikokotoo.
Mkuu umeleta uzi lakini unajing'atang'ata kinoma. Nimesoma jinsi unavyongea kwa tahadhari na uoga mpaka unapindisha kile alichokisema rais siku ile. Sasa sijui lengo lako ni nini? Anyway nafikiri lengo lako ni kupata ufumbuzi wa hili fao la kujitoa ila unaogopa kuongea badala yake unataka watu wengine waongee kwa niaba yako.Tatizo tunapishana uelewa, ile speech hakuna mahali Rais alilifanyia hitimisho swala la Fao la Kujitoa, isipokuwa yalikuwa mapendekezo kwamba waangalie namna ya kufanya.
Swala lililotolewa hitimisho ni kuhusu kikokotoo.
Suala la kikokotoo lilikuwa ni la kikanuni zinazotokana na sheria ndiyo maana ilikuwa rahisi kwa Rais Magufuli kulistisha maana kanani zinaweza kutenguliwa muda wowote endapo kutakuwa na haja ya kufanya hivyo. Lakini suala la fao la kujitoa ni sheria mojawapo ya mifuko ya hifadhi ya jamii na hivyo ili itenguliwe lazima ifuate utaratibu wa kutunga na kufuta sheria amabao unahusisha serikali pamoja na Bunge, Aliye leta janga ni haka kajamaa ka msoga ndiyo kalikoruhusu huu ujambazi nadhani baada ya mambo ya fedha kuwa magumu wakati wa urais wake.
Ningeandikaje kama sikusikia mkuu embu karejee kusikiliza vizuri kisha urudi hapa au umemsikiliza lakini unahitaji aina fulani tu ya wachangiajiNdo maana nasema jambo moja kila mmoja anaweza kulielewa vingine, uliisikia speech yake?
Hata mimi nimeona mleta mada anahitaji aina flani ya wachangiaji. In fact anaogopa kufunguka alicho nacho moyoni. Nadhani anaogopa wasiojulikana hivyo anaongea kwa kung'ata na kupuliza. Eti anasema rais hajui swala hili, mara aseme rais hakufikia hitimisho la hili swala, mmh! Rais alitoa hadi mifano kuhusu wafanyakazi kwenye hii miradi ya miaka mitatu! Halafu jamaa anajifanya eti rais hajui.Ningeandikaje kama sikusikia mkuu embu karejee kusikiliza vizuri kisha urudi hapa au umemsikiliza lakini unahitaji aina fulani tu ya wachangiaji
Ningeandikaje kama sikusikia mkuu embu karejee kusikiliza vizuri kisha urudi hapa au umemsikiliza lakini unahitaji aina fulani tu ya wachangiaji
Hata mimi nimeona mleta mada anahitaji aina flani ya wachangiaji. In fact anaogopa kufunguka alicho nacho moyoni. Nadhani anaogopa wasiojulikana hivyo anaongea kwa kung'ata na kupuliza. Eti anasema rais hajui swala hili, mara aseme rais hakufikia hitimisho la hili swala, mmh! Rais alitoa hadi mifano kuhusu wafanyakazi kwenye hii miradi ya miaka mitatu! Halafu jamaa anajifanya eti rais hajui.
Kwa wale wanaofanya kwenye migodi ama ujenzi wa madaraja anakuwa na mkataba wa miaka 4 alafu asubiri mpaka miaka 60 alisema hakuna mantinki na pengine hata ile kampuni iliyomwajiri inakuwa haipo (moja wa mfano)...nilichoelewa Rais ana taarifa lakini pia hata fao la kujitoa lipo miongoni mwa issue zitakazojadiliwa katika kipindi cha mpito mpaka 2023 ukiachilia mbali VIKOKOTOOWewe bhana, unaongea kwa uoga sana. Kwani unadhani Magu hajui? Ina maana umehadithiwa kile alichokisema tarehe 28 Dec alipokutana na hao viongozi? Mbona aliongelea kabisa na akatoa hadi mifano. Sasa sijui kwa nini unaongea kwa kujifichaficha hivyo?