Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,377
NSSF mbona wanatoa tena mpunga wako wote ili mradi uwe umeachishwa kazi au mkataba umeisha.
Wewe jamaa una akili sana naona umewatafunia kabisa washindwe wenyewe maana Rais alitamka mambo yote yanarudi kama zamani katika kipindi hiki cha mpito mpaka 2023 lakini watu wanakomaa ilikuwa kauli ya KIKOKOTOO tu wakati hiyo sheria na kanuni ndani yake ilibeba vitu vingi na ndio maana akatoa mfano wa watu wa migodini na wale wanaojenga madaraja labda kwa mkatabaka wa miaka 4 alafu azuiwe asichukue hela yake haiingii akilini mpaka afikishe miaka 60 (wajaribu kuangalia utaratibu mwingine) ...Fao la kujitoa ni nini ?
Rais aliposema mtu anafanya kaz miaka 3,4 unamwambia asubiri miaka 60 ili nini ali
maanisha nn ? mafao yanatoka kama tu umemaliza mkataba , lkn cio kama umeacha kazi (resigned) ...... iko hivyo mijadala hii mingine ni upotoshaji . pesa yako kachukuwe kama umepata barua ya kumaliza mkataba au umefukuzwa , lkn kama umeacha mwenye basi bilashaka unacho unachokifanya na sidhani kama utazuiliwa pesa yako nawewe hujachangia michango 180 kama mikataba ya mwanachama na mifuko hii inavyosema ili uwe pensionable . ili uwe penssionable ni lazima uchangie michango 180 , hapo nafikiri hiyo 60 yao utakuwa unainusa pia na haitoumiza . lkn cio mtu anamiaka 25-45 unamtaka asubiri afike 60 ndio umlipe unavyotaka ww na pesa ni yake.
Mkuu inachukua muda gani mpaka kulipwa mafao yako yote aidha umeachishwa au mkataba hautaki kuendelea nao au kuacha mwenyewe kazi...NSSF mbona wanatoa tena mpunga wako wote ili mradi uwe umeachishwa kazi au mkataba umeisha.
Na NSSF wanalipa 25% mkuu.....moto uliwaka zaidi kwa wale wa PSPF nadhani ambao wao kikokotoo chao kilikuwa 50% kabla ya kukipunguza baadaa ya kuunganisha mifuko na ndio maana tupo kwenye kipindi cha mpito ili 2023 waje na mfumo rafiki ambao baada ya kuunganisha kuwe na kikokotoo kizuri (ila hao watumishi wa PPF kama kipindi cha mpito kikiisha na wakapelekwa PSPF nadhani watakuwa pazuri zaidi maana sidhani kama watakuja na formula complicated kama hii hata wakishuka watashuka kidogo tofauti na wale wa sekta binafsi waliopo PPF wakapelekwa NSSF itakuwa majanga zaidi kwa calculation zao na ndio maana wafanye yote watuachie fao letu pendwa)Hii mifuko ni utapeli na wanasiasa wanatafutia kiki je watu wanajua kuwa PPF kikotoo chao hakina tofauti na hiki kilichofutwa na Rais? PPF wanalipa asilimia 32 tu mfano mtu mwenye mshahara wa laki 7 hapati zaidi ya mil 20 anacheza kwenye 18.
Kwa nchi hii inayoongozwa na jiwe kichaa njia pekee ni 2020 ingiza Lissu ikulu na ikishindikana basi msituniAmani iwe kwenu wapendwa.
Background: Mifuko ya hii ya NSSF na PPF (siku hizi PSSSF) ilikuwa na utaratibu kwamba unapoacha kazi kwa hiari, kufukuzwa, mkataba kuisha unachukua hela yako maisha yanaendelea.
Around 2014/2015 huo utaratibu ulisitishwa, ukiuliza unaambiwa sheria hairuhusu, ingawa kuna baadhi walikuwa wanapata kwa mikakati maalum.
Mifuko ikaunganishwa, likaja swala la vikokotoo na Fao la Kukosa Ajira.
Tar 28 Dec 2018, Mh Rais alitengua swala la vikokotoo vipya na kusema mambo yawe kama zamani, ni baada ya kufanya kikao na wadau husika SSRA, wawakilishi wa wafanyakazi, wahusika wa taasisi hizo nk. Na tumeona maandamano ya kumpongeza Rais kwa tukio hili.
Bahati mbaya, kinachoonekana ni kwamba swala la Fao la Kujitoa limewekwa kando, tukifatilia tunaambiwa hakuna mwongozo.
Kuna watu kibao wako mtaani na kazi zimekuwa ngumu kupata, kuna walio maofisini wangetamani kuacha wachukue mitaji wafanye mambo yao, kuna walio maofisini muda wowote watakuwa vijiweni nao wanatamani kuwa na uhakika wa hii fedha.
Kama hili swala lisipopatiwa ufumbuzi kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, tusahau kulipatia ufumbuzi.
Nini cha kufanya:-
Wahanga, na wote ambao ni wazalendo tunatakiwa kwa pamoja tutoe mapendekezo kuhusu hili swala, kama ni kutengeneza petition, kama ni kufanya maandamano kuonana na waziri husika, waziri mkuu au kuelekea SSRA, kama pia ni kufanya utaratibu wa kuonana na Rais, etc.
Kupitia hii thread, tunaweza ku-brainstorm ni njia ipi tunaweza kuitumia kuhakikisha taarifa zinamfikia Rais kwamba kuna watu wanakufa njaa wakati hela zao zipo, haki yao ipo.
Tukumbuke kwamba jinsi tutakavyoonesha wingi wetu, influence yetu ndivyo hivyo hivyo swala letu litachukuliwa serious.
Naomba kuwasilisha.
Linakujaje wakati tunasubilia 2023?wanasema kuna fao la kukosa ajira
Hapo msituni umeniacha , kutafuta asali au?Kwa nchi hii inayoongozwa na jiwe kichaa njia pekee ni 2020 ingiza Lissu ikulu na ikishindikana basi msituni
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ujilipue na bomu pale mapokezi mkuu ndiyo italeta msisitizoUkishawamwaga ubongo hata watu sita utakaowakuta kwenye hizo meza zao utakuwa umetuma clear message kwa serikali na kwa hao majambazi wanaosimamia hiyo mifuko. Na kwa kitendo hicho huo ujinga utakoma na utabaki kuwa historia.
Wazo lako sio baya hata mimi nimewaza hivyo hivyo jana maana niliumiza kichwa sana nikajikuta nawaza hivyo.Dawa yao ni kuwatandika risasi tu. Unaingia unawamiminia risasi wafanyakazi wote wa huo mfuko. Haya mambo ya kubembeleza kupata haki yako yanatakiwa kukoma.
Imagine Nina hela karibia 5m wamekaa nazo since 2015 mi nahangaika na life kitaa wakati ningekuwa nimejiajiri may be na kuajiri wengine.Amani iwe kwenu wapendwa.
Background: Mifuko ya hii ya NSSF na PPF (siku hizi PSSSF) ilikuwa na utaratibu kwamba unapoacha kazi kwa hiari, kufukuzwa, mkataba kuisha unachukua hela yako maisha yanaendelea.
Around 2014/2015 huo utaratibu ulisitishwa, ukiuliza unaambiwa sheria hairuhusu, ingawa kuna baadhi walikuwa wanapata kwa mikakati maalum.
Mifuko ikaunganishwa, likaja swala la vikokotoo na Fao la Kukosa Ajira.
Tar 28 Dec 2018, Mh Rais alitengua swala la vikokotoo vipya na kusema mambo yawe kama zamani, ni baada ya kufanya kikao na wadau husika SSRA, wawakilishi wa wafanyakazi, wahusika wa taasisi hizo nk. Na tumeona maandamano ya kumpongeza Rais kwa tukio hili.
Bahati mbaya, kinachoonekana ni kwamba swala la Fao la Kujitoa limewekwa kando, tukifatilia tunaambiwa hakuna mwongozo.
Kuna watu kibao wako mtaani na kazi zimekuwa ngumu kupata, kuna walio maofisini wangetamani kuacha wachukue mitaji wafanye mambo yao, kuna walio maofisini muda wowote watakuwa vijiweni nao wanatamani kuwa na uhakika wa hii fedha.
Kama hili swala lisipopatiwa ufumbuzi kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, tusahau kulipatia ufumbuzi.
Nini cha kufanya:-
Wahanga, na wote ambao ni wazalendo tunatakiwa kwa pamoja tutoe mapendekezo kuhusu hili swala, kama ni kutengeneza petition, kama ni kufanya maandamano kuonana na waziri husika, waziri mkuu au kuelekea SSRA, kama pia ni kufanya utaratibu wa kuonana na Rais, etc.
Kupitia hii thread, tunaweza ku-brainstorm ni njia ipi tunaweza kuitumia kuhakikisha taarifa zinamfikia Rais kwamba kuna watu wanakufa njaa wakati hela zao zipo, haki yao ipo.
Tukumbuke kwamba jinsi tutakavyoonesha wingi wetu, influence yetu ndivyo hivyo hivyo swala letu litachukuliwa serious.
Naomba kuwasilisha.
Imagine Nina hela karibia 5m wamekaa nazo since 2015 mi nahangaika na life kitaa wakati ningekuwa nimejiajiri may be na kuajiri wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe umeachishwa kazi au mkataba umeisha. Ukiacha mwenyewe hulipwi. Muda ni ndani ya mwezi mmoja. Tena wanakupa na tarehe kabsaa ya pesa kuingiaMkuu inachukua muda gani mpaka kulipwa mafao yako yote aidha umeachishwa au mkataba hautaki kuendelea nao au kuacha mwenyewe kazi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Walio resign wenyewe hawalipwi.Hii ni taarifa mpya kwangu, maana mwanzoni mwa mwaka kuna watu walizinguliwa.
Na vipi kuhusu walio resign wenyewe?
Uwe umeachishwa kazi au mkataba umeisha. Ukiacha mwenyewe hulipwi. Muda ni ndani ya mwezi mmoja. Tena wanakupa na tarehe kabsaa ya pesa kuingia