Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,378
Duh hiyo balaa tupuPPF/PSSSF hakuna kitu hicho, wanatoa fao la kutokuwa na ajira.
Wao wanasema hawajapata mwongozo.
Duh hiyo balaa tupuPPF/PSSSF hakuna kitu hicho, wanatoa fao la kutokuwa na ajira.
Wao wanasema hawajapata mwongozo.
Mkuu sija elewa vizuri ambacho sitalipwa ni kipi...?Uwe umeachishwa kazi au mkataba umeisha. Ukiacha mwenyewe hulipwi. Muda ni ndani ya mwezi mmoja. Tena wanakupa na tarehe kabsaa ya pesa kuingia
Uwe umeachishwa kazi na sio kuacha mwenyeweMkuu sija elewa vizuri ambacho sitalipwa ni kipi...?
Tafadhali ufafanuzi kidogo .
Sent using Jamii Forums mobile app
Fao la kukosa ajira is a joke. Eti upatiwe 33% ya mshahara wako wa mwisho kwa miezi sita halafu baada ya hapo is total confusion... Mheshimiwa Raisi tunakuomba ingilia suala hili. Ni afadhali wangesema hata mtu apewe 50% ya michango yake kisha asuburu miaka mitatu akitafuta ajirawanasema kuna fao la kukosa ajira
Kwamaana hiyo nikiamua kuacha kazi mwenyewe bila kuachishwa nitapata mafao yangu yote bika usumbufu wa aina yoyote.. Ndani ya mwezi mmoja?Uwe umeachishwa kazi na sio kuacha mwenyewe
mmmmmmmh! labda waziri mkuu lakini Jenista nae mkandamizaji tu! na hawezi lifikisha kwa mkuuAu tukaanzisha hashtag kuhakikisha Rais taarifa anazipata.
Pia tunaweza kuona ni jinsi gani tunaweza kutengeneza kundi linaloweza kuomba kuonana na waziri mkuu na kumwomba atifikishie ujumbe wetu kwa Rais.
Muhimu ni kupata takwimu simple kuhakikisha influence yetu inaleta impact.
mmmmmmmh! labda waziri mkuu lakini Jenista nae mkandamizaji tu! na hawezi lifikisha kwa mkuu
Ukiacha mwenyewe imekula kwako hupati pesa yoyote.Kwamaana hiyo nikiamua kuacha kazi mwenyewe bila kuachishwa nitapata mafao yangu yote bika usumbufu wa aina yoyote.. Ndani ya mwezi mmoja?
Sent using Jamii Forums mobile app
hata hao wa NSSF ni wa hanga wa hi michango kwani nao wanachangia kama wewe sema wao kwa kuwa wanajuana siajabu wanalipana tuWe bhana, acha kujitia hujui kitu. Kwani ukitapanya ubongo wa hao majambazi ndio watakufa na hela zetu? Hiyo ni njia ya kuwaonyesha tu kuwa uvumilivu umefikia kikomo, dharau na kutuchezea na kutothamini utu wetu umefikia kikomo. Kutufanya sisi are less human being imefikia kikomo. Sisi kufa njaa wakati wao wanalipwa mishahara kwa fedha zetu imefikia kikomo. So, unatandika risasi kufikisha huo ujumbe. Siraha ukitaka kuipata unaipata tu, mbona majambazi wanazipata.
Nahukuru kwa muongozo lakini lengo langu lilikua nikuacha kazi au nisiendelee na mkataba ili nipate kuchukua mafao yangu sasa kama nihivyo nikiamu maamuzi hayo inamaana itakula kwangu ..?Ukiacha mwenyewe imekula kwako hupati pesa yoyote.
And still its mandatory kuendela kuchangia au kuanza kuchangia ukiwa na ajira, na kuchukua pesa yako kunakua na mililongo ya kutosha...Hela hakuna kwenye mifuko, wauze ile mijengo yao wawalipe watu.
Uchaguzi ukiisha watadunduliza upya.
Ni jambo zuri upatikane muafaka wa FAO la kujitoa,Shida wanazungusha huyuhuyu Jiwe ndio kakomba pesa zote za mifuko ya hifadhi ya jamii.Anyway mkaa bure siyo sawa na mtembea bure.
Taasisi za nchi hii sijui zinafanya kazi gani. Watu wanahangaika miaka na wengine wanakufa wakidai mafao, si NSSF wala SSRA wanaotoa kauli authoritative kuhusu jambo hili. Hivi wananchi wanyonge ambao ni waathirika wa inefficiency hii wafanye nini? Juzi Raisi ametuhumu wizara moja kwa kusema watu hawafanyi maamuzi na hii ni sawa kabisa na NSSF na SSRA. Shida ni nini mnaachie kila mtu atoe tafriri yake. Jamani ... hebu amkeni
Jitoe mhanga basiDawa yao ni kuwatandika risasi tu. Unaingia unawamiminia risasi wafanyakazi wote wa huo mfuko. Haya mambo ya kubembeleza kupata haki yako yanatakiwa kukoma.
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umenichekesha sanaLengo ni kukusanya mawazo tuone tutafanyaje, hivyo basi kama wazo lako ni hilo la kupiga risasi, tupe mkakati, tutapaje silaha, tutamvamia nani nani, na ni mission ya siku ngapi.
Na tukishavamia tukawapiga risasi hela tutapataje.
Leta mawazo mkuu.